Uchaguzi 2020 Dar: Helkopta ya Kampeni ya Tundu Lissu, yanyimwa kibali cha kutumia anga, ni baada ya kuomba kibali hapo jana

Kwanini hawakuomba hicho kibali mapema?au hiyo ratiba ya kampeni haikupangwa siku nyingi?
 
Onyesheni barua ya kunyimwa kibali

Acheni kuchafua siasa
 
Hii ni yetu sote figisufisu zote hizi za nini
Hizo ndio akili za wapambe wa kiafrika, ili kumfurahisha aliyewateua!! Utakuta hata hawajatumwa ila ili na wao waonekane kiasi fulani, walimsaidia kwenye ushindi wake!! Waendelee kukaa kwenye viti vyao!! Kwa afrika hadi chama cha upinzani kuchukua madaraka lazima kazi kubwa ifanyike sana!!
 
Magufuli si kajenga meli kibao tu na maflyover na mabarabara.....sa anaogopa nini Lissu akizunguka kupiga kelele...hehehe.
 
Jiwe hata ufanyeje kung'oka lazima. Aga haraka hakuna gambosh wala chato technology itakayoshindana na Mungu aliye hai. Ninamuatack jiwe kwa sababu he is too petty, too low na atakuwa amempigia sm huyo afisa wa anga. JIWE MUST GOOOOOOOO!
 
Hizo sababu zisizoeleweka ndo zipi? Wangeziweka hapa tuzione
 
Lakini Magufuli hii nchi anaitafuta nini? Amezuia wenzake wasibandike mabango yao kwenye miji mpaka kwenye vyoo yeye kabandika ya kwake, amezuia vyombo vya habari visitangaze habari za wenzake! Sasa anazuia hata wasitumie helicopter, tunakoelekea atazuia hata wasifanya kampeni! Dunia hii kuna majitu ni majibwa!
 
Kwahiyo hawakuzuiwa? Sometimes msiwe wapuuzi kupita kiasi
Halafu huyu bado ana watu wanamwunga mkono eti? Nyoko kabisa hii nchi! Kule Pemba kaagiza majeshi yameanza kukatiza mitaani kutisha watu! Tunamwambia atake asitake mwaka huu lazima ang'oke asituletee madharau ya Kihutu hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…