Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia


..huwezi kuwapiga kiberiti.

..ukiwazidi nguvu wanaita msaada wa Polisi.

..msiwalaumu raia, walaumuni VIONGOZI wetu wanaofadhili hilo genge.
 
Yu wapi Ben saanane?

Hatujasahau!
 
Kwa hiyo muhalifu ndiyo huwa anakamatwa hivyo.Mpuuzi mjinga mwili mzima wewe!
 
Upuuzi!
 
Watekaji wameoneka vizuri sana ,nina imani hao ndiyo watataja genge zima la uhalifu na utekaji ulnaondelea nchini ,hao wamesema sisi ni polisi means kama siyo polisi basi hao ndiyo wanaoteka watu kwa kivuli cha polisi ,kwakuwa polisi washatoa press kama wanawatafuta means siyo watu wao maana tukio limetokea tangu tar 11.

Hao siyo polisi na wana pingu na bastola inaleta picha genge lao linahusika kuwamteka kibao ,sativa,deus soka etc

Hakika wasiojulikana washajulikana soon natarajia watakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ,hapa polisi ile tantalila ya uchunguzi unaendelea hatutaki kusikia picha jongefu zinaonyesha sura wazi na HD.
 
Wanaoteka wanajulikana na polisi hawana la kuwafanya. Huyo ahamie mikoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…