Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Kama huna cha kuongea piga kimya.
 
We j
WE jamaa tulishakujua una shida sana
 
Daah raia wanaangalia tu kama movie vile na jamaa analia akiomba msaada. Hapoa kwenye hiyo resolt hamna uongozi, wala mtaa hauna uongozi.

Inasikitisha sana, usitegemee msaada toka kwa waTz hasa mijini.
Usihukumu mapema hujui nini kilitangulia kabla ya hiyo Hijack.

Mpaka sasa tarehe 13 Kamandda Muliro kimyaaa
 
Watawala wameifanya Nchi hii ili uwe salaama anzisha vijiwe vya kujadili mambo ya

1. Simba na Yang
2. Pdidy
3. Baltazar

Yaaji hapo watakulipa hafi allowance
 
Ingekua Tarime wangeshawaka moto.
Huko Mara nadhani Tarime amebebwa mtu mbele ya mwanawe siku za karibuni. Hujaona taarifa mitandaoni?
Walipiga kelekele jamaa na mwanawe, wale watekaji watano wakakoki machine gun na bastola zao hakusogea mtu.
Silaha ya moto siyo poa.
 
Sehemu kama hio inasemekana alienda kwa ajili ya business meeting huenda sio maeneo yake.
 
Hayo ndio maisha ya watanganyika toka zamani, watanganyika sio watu wa kusaidiana.
 
Ni kweli tuendako mkienda kumchukua mtu bila kufuata taratibu mtapigwa live!
Stop all the nonsense. Police kazi yao ni kumkamata mtuhumiwa na kumfikisha mahakamani kwa mujibu wa PGO!
Mahakama pekee ndo inatoa hukumu kwa mujibu wa sheria.
Sasa kwanini wao watake kumuua bonge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…