Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Nje ya siasa nilazima kila Raia wa Taifa hili ajuwe yeye na kizazi chake crime is dangerous and it can end you are life.
Nimeweka hii video kuonyesha vile huko Kenya watu walikuwa wana uwawa live kwa uhalifu.
Hatuwezi kuruhusu Taifa hili kuwa lamajangili ni hatari kwa uwepo wetu. Uhalifu wa aina yeyote hauwezi vumiliwa. Yaani kama mnafikiri huyu mama mtamgeuza kama chapati basi msije jishangaa mkageuzwa kama chapati.
Kama huna cha kuongea piga kimya.
 
We j

WE jamaa tulishakujua una shida sana
 
Daah raia wanaangalia tu kama movie vile na jamaa analia akiomba msaada. Hapoa kwenye hiyo resolt hamna uongozi, wala mtaa hauna uongozi.

Inasikitisha sana, usitegemee msaada toka kwa waTz hasa mijini.
Usihukumu mapema hujui nini kilitangulia kabla ya hiyo Hijack.

Mpaka sasa tarehe 13 Kamandda Muliro kimyaaa
 
Je,Huyo Mtu kajulikana?
Je ni kwa sababu zipi walitaka kumteka?
Je alikuwa anatumia mtandao gani kwenye simu?
Je alikuwa anatumia social media gani kwenye mtandao (kisiasa) Instagram, Twitter, Facebook, au JF?

Bora uongelee Miziki, Simba, Yanga, Pombe au msambwanda n.k ili wasikuteke.

Muda umefika Mungu aingilie kati.
Watawala wameifanya Nchi hii ili uwe salaama anzisha vijiwe vya kujadili mambo ya

1. Simba na Yang
2. Pdidy
3. Baltazar

Yaaji hapo watakulipa hafi allowance
 
Watanzania sisi ni zaidi ya NYUMBU, kumtetea mtanzania ni kazi hao aliokuwa labda anawapambania mtandaoni mara kwa mara wanamtizama tu, lakini swali, je maeneo hayo, hana kaka, hata ndugu wa karibu, hata wana ambao huwa wanagonga cheers pamoja kwenye ulabu hakuwepo?
Sehemu kama hio inasemekana alienda kwa ajili ya business meeting huenda sio maeneo yake.
 
Yawezekana kabisa kutokana na dhana kwamba usanii walipa pengine watu walidhani wasaniii walikuwa kazini.

Kumbe kiuhalisia mtu atekwa hadharani. Pia kuna jamaa hapo kapita tu bila hata kuangalia kinoendelea.

Mzee Ali Kibao (RIP)alitekwa kutoka kwenye basi na abiria wengine wakiwa hawana cha kufanya na kwenda kuteswa kisha kuuawa.
Hayo ndio maisha ya watanganyika toka zamani, watanganyika sio watu wa kusaidiana.
 
Tusishabikie kila kitu nakubpost pamoja na makosa mengine uhalifu umekuwa mkubwa sana kwa kiwango cha kutisha huko mbeleni watu watapigwa risasi live sitaki kuamini huyu ni mtu wakisiasa lazima atakuwa kuna jambo anafanya na walikuwa wana msaka.
Nje ya siasa uhalifu dhidi ya Taifa lako ni jambo la hatari kwa maisha yako. Mama mkanye mwanao mama mkanye mwanao.
Ni kweli tuendako mkienda kumchukua mtu bila kufuata taratibu mtapigwa live!
Stop all the nonsense. Police kazi yao ni kumkamata mtuhumiwa na kumfikisha mahakamani kwa mujibu wa PGO!
Mahakama pekee ndo inatoa hukumu kwa mujibu wa sheria.
Sasa kwanini wao watake kumuua bonge?
 
Back
Top Bottom