Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Uchukuaji wa Tukio ulishindw chukua plate number za gari ___


Tule tunenepe itatusaidia kutokutiwa nguvun kirahis
 
Taratibu tu mnachokitafuta mtakipata.

Ok nani anayeruhusiwa kumiliki pingu Tanzania??
 
Uchukuaji wa Tukio ulishindw chukua plate number za gari ___


Tule tunenepe itatusaidia kutokutiwa nguvun kirahis
Hata wangechukua number plate isingesaidia hao polisi wanaweka fake number plate wakienda kwenye tukio.

Moja watu waliwahi piga picha katika kuverify wakakuta ile namba na aina ya gari iliyosajiliwa haviendani.

So tumshukuru aliyechukua video sura ndio zilikuwa muhimu sana na sasa wawili kati yao wameshajulikana kwa majina ila nina uhakika hawatofanywa chochote kisheria bali watawajibishwa na maboss wao kwa kufeli zoezi.
 
Upolisi ni kazi ya laana
 
Hao ni watekaji au ni wapumbavu tu? Mbona wanyonge nyonge sana??
Halaf nyie mnaolaumu watu hawamsaidiii ni hao wakina dada pembeni hapo na hivyo vitoto ndio wa kumsaidia tena mitaa ya uswahili mida hio??
Lawama za bure.
Kikubwa Mwamba kapambana haswaaa. Halaf huyu sio bonge tu mwamba inaonekana nae ni mkali wa hizi kazi sio kitoto. Kavimba kishenzi pale mlangoni katanua mikono asiingie ndani, hii technique hawez fanya mtu mzembe mzembe.
Nimewadharau sana hao watekaji, sijui walitumwa kuja kuigiza au vip? Hawako serious na kazi au hawana uwezo wa hizo kazi.
Mwamba kawanyoosha haswaaa.
 
Ila tusiache fanya hvyo maan tutafichukua mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…