Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakweliMajina ya Hawa yakiwekwa Hadharani ndio kinatokea nini? Mbona waliwekwa Hadharani na wengine wanatiwa kina Mafwele Hadi picha zipo lakini si wapo wanaendelea na mishe zao au?
Hatari sana. !Raia wameshindwa hata kuchukua namba ya hiyo Gari?
Bado polisi watasema hawa watu hawajulikani..Walianza huku jamaa alipofika kwenye gari akagomaView attachment 3150765
Taratibu tu mnachokitafuta mtakipata.Polisi wanadai kwamba bwana huyo anaitwa Deogratius Tarimo ambae ni mfanyabiashara wa Kibaha na kwamba Kuna watu walikuwa wanawasiliana nae Kwa Ajili ya kukutana hapo Hotelini.
Ikumbukwe taarifa za X zinadai hao Jamaa ni undercover wa kitengo Chao na Baadhi wamewatambua kwamba wanafanya kazi huko huko Kibaha nk
Duh 🙄 !Green guards at work..!
Hata wangechukua number plate isingesaidia hao polisi wanaweka fake number plate wakienda kwenye tukio.Uchukuaji wa Tukio ulishindw chukua plate number za gari ___
Tule tunenepe itatusaidia kutokutiwa nguvun kirahis
Upolisi ni kazi ya laanaWakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Ila tusiache fanya hvyo maan tutafichukua mengine.Hata wangechukua number plate isingesaidia hao polisi wanaweka fake number plate wakienda kwenye tukio.
Moja watu waliwahi piga picha katika kuverify wakakuta ile namba na aina ya gari iliyosajiliwa haviendani.
So tumshukuru aliyechukua video sura ndio zilikuwa muhimu sana na sasa wawili kati yao wameshajulikana kwa majina ila nina uhakika hawatofanywa chochote kisheria bali watawajibishwa na maboss wao kwa kufeli zoezi.
Hi hujifunzi na kua Bora kwa kusoma vitabu...you have to sweat and practice
Ushauri wako sasa ni upi mkuu.Majina ya Hawa yakiwekwa Hadharani ndio kinatokea nini? Mbona waliwekwa Hadharani na wengine wanatiwa kina Mafwele Hadi picha zipo lakini si wapo wanaendelea na mishe zao au?
Bora hata sura Ili Kila mtu awatambue na ajue jinsi ya kumalizana nao mtaani.Ushauri wako sasa ni upi mkuu.