Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Nani mwingine anarudi kila muda kusoma comments
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli inatisha sanaMungu Kampa Mwili Wake Mkubwa Kama Kinga Ya Kuuliwa Na Wapumbavu kama hawa na Bado Watanzania Tunawacheki tu.
Nchi gani hii
Na Ajabu Utasikia Kimya
Hawajulikani
Na Kunakauli ya mwisho hapo Tutakupata/ Tutakufuata hawa Tunaomba Majina yao Yasambae tujue hawa ndio Wauwaji
Aiseeee!Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Lakini macho ya kuyaona haya anayo, ndiyo maana kaziita 'Drama'!Mwenye nchi kesha sema yeye ni chura kiziwi
Ulitaka wafanikiwe?Sasa jamaa wameshindwa kumuingiza kwenye gari 😄 sijui wana enda kusema nini kwa walio watuma
Watekaji wote wamefahamika majina yao yote na hata wanakoishi, tusubiri porojo za Muliro"Nisaidieni naenda kuuawa, naenda kuuawa, siwajui hawa, naenda kuuawa" jamaa anapambania uhai wake nje ya Hotel ya Rovvenpec Resort iliyopo Kiluvya madukani, jijini Dar. Lakini wananchi wanashuhudia tu, na hawatoi msaada wowote. Yani ilitakiwa hicho kigari kigeuke "majivu" dakika sifuri lakini watu wanashangaa tu kama vile wanaangalia sinema.
Angalau huyu aliyechukua video amesaidia kuhabarisha umma, lakini wengine wamesimama tu wakiangalia mwenzao akilalamika kwenda kuuawa. Halafu kesho maiti yake ikiokotwa huko Ununio watu haohao wangejifanya kusikitika. Watanzania wengi ni wanafiki sana aisee. Ptuu mbaka.!
Ukifuatwa na hawa wahuni jitetee kwa nguvu zako zote, its a margin between death and life. Usitegemee watanzania maana wengi ni makondoo tu. Pigania uhai wako mwenyewe. Kama una silaha yoyote itumie kujihami. Usitembee kiboya.
Huyu jamaa ubonge umemsaidia. Mungu kamjalia mwili na nguvu za kujitetea. Lakini angekua "kimbaumbau" kama mimi, saivi tungeshaandika BringBack za kutosha, au mwili wake ungeokotwa huko Ununio.
Nimejisikia vibaya sana kuona vitendo vya utekaji vinafanyika katika nchi huru na viongozi wala hawajali. Fikiria "watekaji" wanaongea kwa kujiamini kwamba "ukigoma kuingia hapo tutakuua" na bado wananchi wanashangaa tu. Pamoja na jamaa kujitetea na kufanikiwa kuokoa roho yake, bado watekaji wamejibu kwa dharau kwamba "Tutakurudia" maana yake hajakwepa kifo. Amekiahirisha tu 😭. Halafu wale tuliowapa dhamana za uongozi wanatuambia kifo ni kifo tu. Mene mene tekeli na peresi. Mungu yupo.!
Chanzo Melissa Gj .
View attachment 3150726
Huyo ni mwenzao.Nime prove kweli Watanzania ni nyumbu yaani hataki hata kuangalia au alikuwa ni mwenzao.
View attachment 3150769
Wewe wanao tekwa na kuuawa sio wazanzibari wala hana haja ya kuumia kwa lolote hata kama anaonaLakini macho ya kuyaona haya anayo, ndiyo maana kaziita 'Drama'!
Kama swala wa mwituni mwenzao anaponyakuliwa na simba hana msaada.Nimpe pole jamaa kunasuka hapo, maana wange mu RIP, pili inasikitisha sana wabongo hawasaidii wanamuangalia mtu akiwa matatizoni, baadae watume RIP
Aisee jamii inahitaji revolution , hii ni zaidi ya ukondoo
Huyo rararee ni miongoni mwa mamluki, Fuatilia michango yake michache hapa jfUlitaka wafanikiwe?
Hana dini yoyoteMuliro ana roho mbaya sana huyu jamaa hata kama anajifanya anasali
Watu wanaoshindia mihogo na miguu ya kuku unategemea nini?Ila pamoja na yote watu wa Dar mmezidi uoga aise mnazidiwa na hata watoto wadogo wa shule ya msingi angalau wanejipitisha hapo.
Nchi yetu bado tuna bonge la safari ambalo halijajulikana litaisha lini. Hao wapumbavu walikuwa wa kugongeshwa mawe mpaka wapoteane.
Ni lini tutawafikia Haiti? Mi naona tumo njiani kwa mwendo wa kasi sana!Yani taratibu tunakuwa kama southafrica, uhalifu unafanywa mchana kweupe watu wanaangalia tu
Mshana Jr JANA KASEMA KUNA MATUKIO YANATENGENEZWA ILI KUZUBAISHA WATU KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI NAANZA KUMUAMINI KATIKA HILIWakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Nime prove kweli Watanzania ni nyumbu yaani hataki hata kuangalia au alikuwa ni mwenzao.
View attachment 3150769
Kwa hii picha huyo ni mwezao kabisa alikuwa Ana lakeNime prove kweli Watanzania ni nyumbu yaani hataki hata kuangalia au alikuwa ni mwenzao.
View attachment 3150769