Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

Dar: Jamaa adaiwa kumuua mpenzi wake kisha naye kujiua kwa kunywa sumu, vidonge na pombe

pole mkuu, vip alikua Pisi kali ?
Ahsante ndio huyu hapa
IMG-20220609-WA0000.jpg
 
Daah mungu aniepushe kujitoa uhai kisa .mapenzi ingawa yanauma sana.
 
Mbunye katika ubora wake, hili ni tatizo kwa jamii mtu umemchoka achana naye nijiue hapana kwa kweli.... R.I.P
Umemnunulia smartphone, wewe kitochi.
Kesho yuko na Bwashee, ukiuliza, majibu: "Tena nakwambia unikome, mwanaume gani wewe? Suruali tu! koma!"
 
Shetani amewekeza kwenye mapenzi...
Wakati huo huo wanamake wamewekeza kwenye kujinoa kwenye ujuaji na kutia mbolea madharau yao na wanaume wao wameamua kuwekeza kwenye msimamo wao wa kutopandwa kichwani kudadeki lazima kiwake.
 
Kaua mpenzi kumbe hakuwa mke

Mwisho wa siku naye kajitundika

Ova
 
Kuna Jambo halipo Sawa huku Duniani,Tuwe makini.
 
Hilo jina hulioni kama ni la watu wa kanda ile aliyetokea kiongozi wa malaika?,......siku ukiona mzaramo kajinyonga rudi tena kutetea hoja yako
N'gwana Manyanda kafanya yake huko dah Wasukuma nini kimewakumba awamu hii?
 
Back
Top Bottom