JAPHA ED
JF-Expert Member
- Aug 17, 2016
- 793
- 1,223
Daaah wewe acha tu machungu yake hayaelezekiimagine wazazi wake wanajiskiaje mtoto wao ndokamaliza chuo sasa aanze kupambana na maisha afu anatokea mtu tu anakatisha maisha yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah wewe acha tu machungu yake hayaelezekiimagine wazazi wake wanajiskiaje mtoto wao ndokamaliza chuo sasa aanze kupambana na maisha afu anatokea mtu tu anakatisha maisha yake
Ahsante ndio huyu hapapole mkuu, vip alikua Pisi kali ?
hahahahahaha hii naipiga laminesheniTunaposema kuishi na mwanamke chumba kimoja ni Sawa na kukumbatia mtungi wa gesi unaovuja,
Muwe mnatuelewa.,,
kwa hicho kibode inaonesha wazee wa Toyo na Boxer walijitwalia mbunye kwa tani yao 😄😄😄Ahsante ndio huyu hapa View attachment 2255662
Umemnunulia smartphone, wewe kitochi.Mbunye katika ubora wake, hili ni tatizo kwa jamii mtu umemchoka achana naye nijiue hapana kwa kweli.... R.I.P
Wakuu mnashindana kuua?Mlisema wanaume wa dar hawawezi.. kanda ya ziwa mmejibiwa.
Mbona jina la Kanda ya ziwa!?
Nyanda mhamiaji toka Kanda ya Ziwa. Kaenda Dar kutoa demo.Mlisema wanaume wa dar hawawezi.. kanda ya ziwa mmejibiwa.
Mkuu wewe ni mgeni wa comment za humu?Wakuu mnashindana kuua?
Njoo tuuane 😎😎Kumammk am sick n tired of this shit[emoji26][emoji26]
Yaan imekuwa kama fasheni[emoji57][emoji57]
Wakati huo huo wanamake wamewekeza kwenye kujinoa kwenye ujuaji na kutia mbolea madharau yao na wanaume wao wameamua kuwekeza kwenye msimamo wao wa kutopandwa kichwani kudadeki lazima kiwake.Shetani amewekeza kwenye mapenzi...
Nimecheka yaani ingawa tukio la kusikitishaHii sasa sifa, inabidi maiti zao zipigwe viboko hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
Pia nasisitiza matumizi sahihi ya Ncha Kali.
N'gwana Manyanda kafanya yake huko dah Wasukuma nini kimewakumba awamu hii?Hilo jina hulioni kama ni la watu wa kanda ile aliyetokea kiongozi wa malaika?,......siku ukiona mzaramo kajinyonga rudi tena kutetea hoja yako
Tena we jeuri...ntakukata korodani usiku[emoji28][emoji28]Njoo tuuane [emoji41][emoji41]