Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

bunch of fools
 
Hivi kweli huyu Wambura naye ina maana alisaini tu barua hii bila kuisoma ili aone iko sawa au la?

Basi ofisi ya upelelezi kanda maalumu DSM ya ndugu C.P. Wambura ina personal secretary mzembe sana asiyejua kazi yake...!!
Haraka za kutaka kumkamata kobe kichwa. Kama wale wengine walitumia hadi bodaboda ili kuepukana na foleni kuwahi kupeleka barua, itakua na huyu wa kusaini bila kuisoma vizuri.
 
Baada ya tarehe 20 oktoba matokeo.

Magufuli 79% vs Lisu 19%

Nafikiri mpaka hapo umeona nani ni mjanja.
Kumbe uchakachuaji utakamilika tr 20 Octoba, huko tr 28 Octoba ni kukamilisha utaratibu tu.
 
Bado polisi inabidi wa angaliwe kwa macho 4 maana hawaja wahi kuwa waungwana ata siku moja
Mshana Jr Bujibuji MIDA YA SAA NANE MCHANA NIMEONA UZI HUMU WA KUSEMA JPM KASIMAMA KAMPEN HAD TAREHE 11,KUANZIA SAA TISA NA DK 15 UZI SIUONI KWANINI,NDO WAMEUFUTA AU..MARA NOW NAONA TUNDU LISU AMEPIGWA BAN SIKU SABA NO KAMPENI
 
kumbe mlijuwa mnasubi
Tume n Polisi na serikali lao moja o
 


Natafuta connection siioni

  1. ...IGP
  2. ...uliotolewa jana ukimtaka aripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro
  3. ...hivyo jeshi la polisi kanda maalum Dsm
 


Hawajaeleza ni kwanini wamebadili mawazo
 
IGP ametoa kauli mgombea ajisalimishe Moshi Kilimanjaro
Jeshi la Polisi Kanda maalum Dsm linatengua amri ya IGP

Hii si dalili njema, kuna hatihati mtu kupanguliwa very soon
 
Magufuli anacho fanya aasa hivi ni KUTOMFANYA ADUI YAKO AJISKIE HANA NGUVU lakini nyuma ya pazia anamichezo yake ya ajabu ambayo adui siku akiijus atazimia na kuzirai. Wapinzani msizani Magufuli ni mjinga sana time will tell.
 
Hili jeshi linatuchafua Sana kimataifa. Ni wakati nao watumie maarifa na busara. Huu uchaguzi Ni maamuzi juu ya namna wananchi walivyosimamiwa na utawala unaopita na wao wakisaidia. Kama utawala huo ulifanya la maana sioni Ni kwa Nini liwabane. Watuache
 
mkuu wangehariri barua ungesema kawafundisha.

wameamua kuwa madogo ili kuepusha vurugu mnawazomea,lakini wote tunajua kwamba wakiamua kufanya ujinga huwa wanaufanya ujinga uliokomaa.

tufurahi maana amani ndicho kitu tunachoulizia.
Kumbe ilikuwa janja ya nyani mlishajipanga kwenye tume!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…