Dar: Jeshi la Polisi limewaua waliowahi kuwa Askari wake katika tukio la Ujambazi

Dar: Jeshi la Polisi limewaua waliowahi kuwa Askari wake katika tukio la Ujambazi

Mkoani kinondoni. Hongera jeshi la polisi
 
Dah! Jamaa wakaona watumie Brevis machine kubwa ili wakipiga mzigo wasepe fasta! Bila shaka maafande nao walitumia Cruiser kukamilisha ligi hiyo! Kongole kwao katika hili.
Nakumbuka kuna wakati kuna V8 liliibiwa Arusha ikawa linapelekwa Dar kumbe taarifa zimeshafika kwa wazee wa kazi, kufika Kabuku Afande akalisimamisha na jamaa akakaidi, zilitembea risasi mpaka chombo ikapiga chini.
 
Mbona kama bongo movie [emoji3][emoji3]
 
Ujambazi haujaanza leo, hata kipindi Cha Mzee wa ruksa walikuwepo, pia kwa jakaya walikuwepo!
Hii inaashiria kuwa CCM haifai imeshachoka haiwezi kumkomboa mtanzania,chanzo kimojawapo cha uhalifu ni hali mbaya ya wananchi kiuchumi.
 
Wengi humu wamepelekwa mabuha alafu wao wamekaa chonjo wakicheka na kufurahi kwa "mission completed"
 
Hii taarifa nina walakini nayo! Mbona jeshi la polisi halijatoa number za ajira za hao majambazi ili wanaowafahamu wawajue na kuwatambua vizuri?
Muda huu skandal yoyote inaweza kutengenezwa kuonesha ushirikiano wa hali ya juu wa jeshi la polisi kufunika gap kati ya jeshi la polisi na wananchi.
Jiulize.....
Ubishi mwingine hauna faida, ulishawah kuona wapi askari anatambulishwa kwa raia kupitia namba ya ajira, au ni lini uliona siro au mabeyo katambulishwa kwa force number...???

Punguza ujuaji
 
Hii taarifa nina walakini nayo! Mbona jeshi la polisi halijatoa number za ajira za hao majambazi ili wanaowafahamu wawajue na kuwatambua vizuri?
Muda huu skandal yoyote inaweza kutengenezwa kuonesha ushirikiano wa hali ya juu wa jeshi la polisi kufunika gap kati ya jeshi la polisi na wananchi.
Jiulize.....
Wametoa wote no zao zinaanzia na F, nimeona taarifa ya habari ITV saa 2
 
Taarifa imekamiilika vya kutosha hakuna utata, hivi kwenye lile sakala na Bwana Lissu. Vipi?
 
Asilimia kubwa ya Majambazi wanakuwa wamepitia Jeshi, au walishawahi kuwa Askari, au wanaweza wakawa bado ni Askari sema inapotokea fursa wanaitumia, na ndio maana unakuta wanajua kutumia kwa uzuri silaha za moto
 
Back
Top Bottom