Dar kama hujaja siku nyingi siku ya kuja lazima udakwe na kichefuchefu

Dar kama hujaja siku nyingi siku ya kuja lazima udakwe na kichefuchefu

Kuna kipindi nilienda CA nilipata mualiko huko nikaenda kama miezi mitatu siku nilivyorudi Tz kwakweli nilihisi Dar kuna hali ya hewa chafu sana ila baada ya wiki nikazoea nikaona hali ya kawaida ile hewa chafu nikawa siihisi tena.

Ni miundombinu mitaro imejaa maji taka haizibuliwi masoko ni machafu sana, mitaa haizingatii usafi kwahiyo ukienda sehem wanayo zingatia usafi Au ukatokea sehem safi na ukaenda sehem ambayo hawajali usafi lazima uhisi hivyo.
 
Back
Top Bottom