Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemuua kifo kibaya sana, hakika Kuna viumbe tunapishana nao kimuonekano ni kama binadamu ila roho ni shetani kamili..Majirani huko "youtube" wanasema ni mtu na mpenzi wake ndio wamefanya tukio halafu kuna ujanja unafanyika ili ionekane kuwa watu wenye hasira kali wamefanya tukio. Hayo ni mauaji ya kukusudia kwa sababu inasemekana walimfuata huyo marehemu nyumbani kwake wakamchukua mbele ya mke wake halafu walipofika nae wanapoishi mtaani hapo hapo walimtuma boda boda petroli ya kumchoma marehemu. Kizuri mpaka sasa majirani wanasema daktari kagoma kusaini baadhin ya nyaraka baada ya kuona janja janja ya kuwachomoa hao wauji. Hapa daktari apewe maua yake.
Daa ila maisha haya laki mbili ndio unamwagia petroli mtu unamtia kibiriti kama unachoma nyasi. Nimesikitika sikuwahi kujua kama dunia ina watu makatili kiasi hiki
Kumbe we ndio huna akili,jamaa kakuuliza akiwa anahisi uenda we unajua sheria,maana umekazania kuwa iyo kesi ni mahuaji yakutokusudia,na ukamtusi jamaa kuwa hana akili,Mimi nakueleza ni manslaughter hiyo kwa Sheria zetu hizi tia maji, Tanzania Sheria ni range fulani ya Maamuzi, haipo straight! Hivi unajua only Hakimu ndo anaweza kuamua Kama upo guilty ukibisha kulipa fine ya Trafic? Hemu jaribu siku moja kubisha!
Kwahiyo kumchoma moto kwa petrol hawakukusudia afe,ila lengo ilikuwa kumtia adabu tu,sindio mwanasheria?
Umaskini umeathiri hadi critical thinking za watu, yaani wez wakubwa huko juu wanawaonea huruma ila huku chini wanapeana adhabu kali?Umasikini buana, yaani kupoteza laki mbili tu ndio ichome mtu moto
Ooh,kumbe wewe bushlawyer ushafanya upelelezi na ushagundua tayari hakuna ushaidi wa majina wala picha za waolimchoma moto,wala jina la bodaboda aliyetumwa afuate petrol !? kwahiyo wewe unahisi unajua zaidi kuliko wapelelezi wa kipolisi? Unahisi watashindwa kupata maelezo ya kutosha kutoka kwa walioshuhudia?Nani kamchoma? Ulikuweko ukaona? Yeye kabishana na mwajiri, wenye hisia wa mtaani wakamchoma, nakuulza wewe sasa, leta majina ya watu waliomchoma na ushahidi? Mwajiri wake ndo alikuwa na Petrol au kiberiti?
wasihukumiwe jela?Adhabu ingekuwa wahakikishe wanatoa matunzo ya kutosha kwa familia yake.
Kumbe we ndio huna akili,jamaa kakuuliza akiwa anahisi uenda we unajua sheria,maana umekazania kuwa iyo kesi ni mahuaji yakutokusudia,na ukamtusi jamaa kuwa hana akili,
Sasa ndio anataka umueleweshe ukiwa kama wewe ni Lawyer,je! Hapo inakuwaje isiwe murder case? We unaleta porojo kuwa mahamuzi yanategemea eti hakimu kahamkaje! Kwani hakimu yeye ni jukumu lake yeye kupeleleza na kukusanya ushaidi hadi mahamuzi yamtegemee yeye tu!?
Ooh,kumbe wewe bushlawyer ushafanya upelelezi na ushagundua tayari hakuna ushaidi wa majina wala picha za waolimchoma moto,wala jina la bodaboda aliyetumwa afuate petrol !? kwahiyo wewe unahisi unajua zaidi kuliko wapelelezi wa kipolisi? Unahisi watashindwa kupata maelezo ya kutosha kutoka kwa walioshuhudia?
Kwahiyo we una bashiri itakuwa mauaji ya bila kukusudia? Kati ya hao walioua nani ambae alikuwa ni mume wako?pole sana bibiePolice wanaweza wajue kila kitu, na Bado itaangukia kwenye Man slaughter! Naongea kitu nachoelewa, ingekuwa USA ni murder straight, huku kwetu tia maji, Manslaughter hiyo!
Kwahiyo tukuamini wewe wakili msomi unaesema case itakuwa mauaji ya bila kukusudia?Na wewe huna akili, ungekuwa nayo ungeelewa kwamba hapa hakuna Darasa, ni kueleweshani, akitaka jua sababu aende akachunguze, na kama haamini ni shauri take, it is not relevant!
Kwahiyo tukuamini wewe wakili msomi unaesema case itakuwa mauaji ya bila kukusudia?
Kwahiyo we una bashiri itakuwa mauaji ya bila kukusudia? Kati ya hao walioua nani ambae alikuwa ni mume wako?pole sana bibie
Ndugu achana naye huyo jamaa usimchukulie serious kwa sababu majibu yake anayotoa ni kama ana uhusiano na hao wauaji kwa hiyo anajaribu kupindisha taarifa hapa. Hivi kweli uchukue bajaji uende nyumbani kwa mtu umchukue mbele ya mke wake huku unamtuhumu kukuibia, ufike naye nyumbani kwako, umuagize bodaboda petroli kwenye kituo cha mafuta, kisha alete halafu umwagie mtuhumiwa wako na umwashe na kibiriti. Halafu mtu anasema eti ni mauaji bila kukusudia.Kwahiyo we una bashiri itakuwa mauaji ya bila kukusudia? Kati ya hao walioua nani ambae alikuwa ni mume wako?pole sana bibie
Polis washafanya Yao ,Watu wamejaa ukatili sana wanakudhurumu na uhai wanakuondoa
Naamini khaki itatendeka
Basi tena so wame mterm kama mwizi anywayPolis washafanya Yao ,
Wameandika kauliwa na wenye Hasira Kali!!!!
Jamaa mjuaji sanaNdugu achana naye huyo jamaa usimchukulie serious kwa sababu majibu yake anayotoa ni kama ana uhusiano na hao wauaji kwa hiyo anajaribu kupindisha taarifa hapa. Hivi kweli uchukue bajaji uende nyumbani kwa mtu umchukue mbele ya mke wake huku unamtuhumu kukuibia, ufike naye nyumbani kwako, umuagize bodaboda petroli kwenye kituo cha mafuta, kisha alete halafu umwagie mtuhumiwa wako na umwashe na kibiriti. Halafu mtu anasema eti ni mauaji bila kukusudia.