Dar: Kijana auawa kwa kuchomwa moto kwa tuhuma za kuiba laki mbili

Majirani huko "youtube" wanasema ni mtu na mpenzi wake ndio wamefanya tukio halafu kuna ujanja unafanyika ili ionekane kuwa watu wenye hasira kali wamefanya tukio. Hayo ni mauaji ya kukusudia kwa sababu inasemekana walimfuata huyo marehemu nyumbani kwake wakamchukua mbele ya mke wake halafu walipofika nae wanapoishi mtaani hapo hapo walimtuma boda boda petroli ya kumchoma marehemu. Kizuri mpaka sasa majirani wanasema daktari kagoma kusaini baadhin ya nyaraka baada ya kuona janja janja ya kuwachomoa hao wauji. Hapa daktari apewe maua yake.

Daa ila maisha haya laki mbili ndio unamwagia petroli mtu unamtia kibiriti kama unachoma nyasi. Nimesikitika sikuwahi kujua kama dunia ina watu makatili kiasi hiki
Wamemuua kifo kibaya sana, hakika Kuna viumbe tunapishana nao kimuonekano ni kama binadamu ila roho ni shetani kamili..
 
Mimi nakueleza ni manslaughter hiyo kwa Sheria zetu hizi tia maji, Tanzania Sheria ni range fulani ya Maamuzi, haipo straight! Hivi unajua only Hakimu ndo anaweza kuamua Kama upo guilty ukibisha kulipa fine ya Trafic? Hemu jaribu siku moja kubisha!
Kumbe we ndio huna akili,jamaa kakuuliza akiwa anahisi uenda we unajua sheria,maana umekazania kuwa iyo kesi ni mahuaji yakutokusudia,na ukamtusi jamaa kuwa hana akili,

Sasa ndio anataka umueleweshe ukiwa kama wewe ni Lawyer,je! Hapo inakuwaje isiwe murder case? We unaleta porojo kuwa mahamuzi yanategemea eti hakimu kahamkaje! Kwani hakimu yeye ni jukumu lake yeye kupeleleza na kukusanya ushaidi hadi mahamuzi yamtegemee yeye tu!?
 
Kwahiyo kumchoma moto kwa petrol hawakukusudia afe,ila lengo ilikuwa kumtia adabu tu,sindio mwanasheria?

Nani kamchoma? Ulikuweko ukaona? Yeye kabishana na mwajiri, wenye hisia wa mtaani wakamchoma, nakuulza wewe sasa, leta majina ya watu waliomchoma na ushahidi? Mwajiri wake ndo alikuwa na Petrol au kiberiti?
 
Ooh,kumbe wewe bushlawyer ushafanya upelelezi na ushagundua tayari hakuna ushaidi wa majina wala picha za waolimchoma moto,wala jina la bodaboda aliyetumwa afuate petrol !? kwahiyo wewe unahisi unajua zaidi kuliko wapelelezi wa kipolisi? Unahisi watashindwa kupata maelezo ya kutosha kutoka kwa walioshuhudia?
 
Kumbe we ndio huna akili,jamaa kakuuliza akiwa anahisi uenda we unajua sheria,maana umekazania kuwa iyo kesi ni mahuaji yakutokusudia,na ukamtusi jamaa kuwa hana akili,

Sasa ndio anataka umueleweshe ukiwa kama wewe ni Lawyer,je! Hapo inakuwaje isiwe murder case? We unaleta porojo kuwa mahamuzi yanategemea eti hakimu kahamkaje! Kwani hakimu yeye ni jukumu lake yeye kupeleleza na kukusanya ushaidi hadi mahamuzi yamtegemee yeye tu!?

Na wewe huna akili, ungekuwa nayo ungeelewa kwamba hapa hakuna Darasa, ni kueleweshani, akitaka jua sababu aende akachunguze, na kama haamini ni shauri take, it is not relevant!
 
Ooh,kumbe wewe bushlawyer ushafanya upelelezi na ushagundua tayari hakuna ushaidi wa majina wala picha za waolimchoma moto,wala jina la bodaboda aliyetumwa afuate petrol !? kwahiyo wewe unahisi unajua zaidi kuliko wapelelezi wa kipolisi? Unahisi watashindwa kupata maelezo ya kutosha kutoka kwa walioshuhudia?

Police wanaweza wajue kila kitu, na Bado itaangukia kwenye Man slaughter! Naongea kitu nachoelewa, ingekuwa USA ni murder straight, huku kwetu tia maji, Manslaughter hiyo!
 
Kwahiyo we una bashiri itakuwa mauaji ya bila kukusudia? Kati ya hao walioua nani ambae alikuwa ni mume wako?pole sana bibie
 
Na wewe huna akili, ungekuwa nayo ungeelewa kwamba hapa hakuna Darasa, ni kueleweshani, akitaka jua sababu aende akachunguze, na kama haamini ni shauri take, it is not relevant!
Kwahiyo tukuamini wewe wakili msomi unaesema case itakuwa mauaji ya bila kukusudia?
 
Kweli maisha ya Duniani yamejaa tabu na shida

Watu wamepoteza Utu kabisa na kugeuka kuwa wanyama 🙌

Vijana nipeni kura Mwaka 2030 niweze kuwahudumia

Kila mwisho wa Mwezi Kila Kijana wa Nchi hii, nitamwingizia kwenye akaunti yake shilingi laki 5 cash imsaidie kupunguza hizi stress

Najua hela nitakapozichota, Mimi si ndiyo nitakuwa Rais wenu 🤗
 
Kwahiyo we una bashiri itakuwa mauaji ya bila kukusudia? Kati ya hao walioua nani ambae alikuwa ni mume wako?pole sana bibie
Ndugu achana naye huyo jamaa usimchukulie serious kwa sababu majibu yake anayotoa ni kama ana uhusiano na hao wauaji kwa hiyo anajaribu kupindisha taarifa hapa. Hivi kweli uchukue bajaji uende nyumbani kwa mtu umchukue mbele ya mke wake huku unamtuhumu kukuibia, ufike naye nyumbani kwako, umuagize bodaboda petroli kwenye kituo cha mafuta, kisha alete halafu umwagie mtuhumiwa wako na umwashe na kibiriti. Halafu mtu anasema eti ni mauaji bila kukusudia.
 
Jamaa mjuaji sana
 
Back
Top Bottom