Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

I second you,mabinti vijana ni shida sana kwenye mahusiano yaani wanatuzeesha na kutuua sana kwenye sex...mikongo na viagra inatupoteza sana.

Unakuta mdada kazoea kupigishwa bao mpaka sita,mwingine kila siku mchna na usiku! Na ataka kwenye ndoa iwe ivyo ivyo ni shida!
 
Namuonea huluma sana, mwanamke wa kiisilamu unaritadi sababu ya huyo kijana acyekuwa muisilamu!!! Atapata anachoctahili kwa Mwenyezi Mungu kama hatarudi kwenye dini ya haki.
Dini ya haki gani!

Acha dharau kwenye dini za watu, Mungu hana dini bali ana watu aliowaumba ambao kama kweli unampenda Mungu hautadharau au kuwadhuru aliowaumba.
 
🙆‍♀️🙆‍♀️kumbe ndo wewe ulimla shangazi yangu na kusababisha mtafaruku mkubwa!!

Nakukumbuka sana,nicheck dm
 
Dogo atakua kaskiza na kaipenda hii nyimbo naona ndiyo imemuhamasisha zaidi..

Nyimbo inaitwa "Sipangwingwi" hicho kiswahili ya wakenya wakimaanisha "Sipangiwi" [emoji116]

 
🙆‍♀️🙆‍♀️kumbe ndo wewe ulimla shangazi yangu na kusababisha mtafaruku mkubwa!!

Nakukumbuka sana,nicheck dm
Waziri keshafariki mama yupo ana maisha mazuri sana hapo upanga
 
Dini ya haki gani!

Acha dharau kwenye dini za watu, Mungu hana dini bali ana watu aliowaumba ambao kama kweli unampenda Mungu hautadharau au kuwadhuru aliowaumba.

Hayo ndiyo mawazo yako ee, kwamba Allah hana dini!!!!!!!!!, umepotea.

Pia, Naheshimu sana imani za wengine, bali kwa kitendo alichokiamua huyo mama siyo kabisa, na asiporudi kwenye uisilamu basi atapata anachostahili mbele ya Mwenyezi Mungu
 
Hayo ndiyo mawazo yako ee, kwamba Allah hana dini!!!!!!!!!, umepotea.

Pia, Naheshimu sana imani za wengine, bali kwa kitendo alichokiamua huyo mama siyo kabisa, na asiporudi kwenye uisilamu basi atapata anachostahili mbele ya Mwenyezi Mungu
Huyo Mungu wa kumuadhibu hayupo labda uamue wewe kumdhuru kwa panga km kawaida ya watu wengi(sio wote) wa stahili yako mlivyo.

Mungu hana dini maana hana wa kumuabudu,Mungu atawaliwi na chochote na ulipa kisasi mwenyewe wala hategemei mwanadamu.

Kama unaheshimu imani za wengine unaona taabu gani huyo mama kuingia imani nyingine? Unafiki unakutafuna sana!
 
mbona wanaume wenye umri mkubwa wanaoa dogodogo?
 
hebu huyo mama asimame tumuone
 
Kama mwanaume anaweza oa binti mwenye umri wa mjukuu wake, kwanini mwanamke asiolewe na mtu mwenye umri sawa na mtoto wake? Tukiondoa motives za kijana, kila mtu anapoingia kwenye mahusiano au ndoa huwa na motives zake ambazo si lazima zangu zifanane na za mwingine.
 
Wengine huwa hadi maratatu kamadozi ya dawa asubuhi, mchana na jioni hadi shahaw zinakauka, sasa hapo kinacho fuata sini dam sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Dahhhh!!! Kwahiyo unashaurije tukiwa nanyi kwenye tujifiche fiche au?? Fanya kutusaidia ushauri tunaangamia kihisia mjue!!
Wala asikutishe tena hamna kitu kinaamsha hisia kama kukuoneni mmetoka kuoga mko na kanga! Au unadeki chumbani kajikanga kanatikisika na mzigo😅!

Asikwambie mtu ukiwa na mzigo halafu unajipitisha pitisha na kachupi lazma nikutafune😍! Ukiskia ile mwanamke ukiwa ndani na mmeo kuwa malaya basi ndio hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…