nyboma
JF-Expert Member
- Aug 29, 2021
- 2,308
- 7,366
Asante kwa kushukuruAsante sana 🙏 tutazingatia hili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa kushukuruAsante sana 🙏 tutazingatia hili!
I second you,mabinti vijana ni shida sana kwenye mahusiano yaani wanatuzeesha na kutuua sana kwenye sex...mikongo na viagra inatupoteza sana.Hilo sio tatizo kabisa, mimi mwenyewe natafuta mzee!
Sifa zao sasa..
1. Hawapendi sex ya kukomaa sana, wanatupenda vijana tunaokojoa fasta
2. Wanataka drive ile slowly hivyo hawatuchoshi.
3. Hawana ujinga wa kukamuana pesa na shida kibao, wengi aged wana maisha yao.
4. Hawahitaji sana sex mara kwa mara. Tofauti na vijana wanaendekeza ngono hadi umkojokeshe hii inatuchosha wanaume
Dini ya haki gani!Namuonea huluma sana, mwanamke wa kiisilamu unaritadi sababu ya huyo kijana acyekuwa muisilamu!!! Atapata anachoctahili kwa Mwenyezi Mungu kama hatarudi kwenye dini ya haki.
🙆♀️🙆♀️kumbe ndo wewe ulimla shangazi yangu na kusababisha mtafaruku mkubwa!!Kijana kanikumbusha miaka ya 80’s nilikuwa napita na wanawake watu wazima, kuna siku nilipita na mke wa Waziri mmoja mkubwa enzi za Nyerere ilikuwa nife ila kwa msaada wa baba yangu mkubwa alikuwa jeshini hili suala likaisha kimyakimya.
Wanawake wa umri huu, nilichokuja gundua huwa wana nyege sana, na wakiwa ndoani wanaume pia wanakuwa wamewachoka hivyo muda mwingi wanakuwa hawakunwi vilivyo nguvu inaishia kwa vibinti vidogo ambavyo huzungusha kiuno na kuifinya kwa ndani ni balaa tupu.
Pongezi nyingi kwa kijana wa kisasa kwa kunikumbusha mbali
Ulaana wake ni upi?Hiyo laana mbwa huyo
Waziri keshafariki mama yupo ana maisha mazuri sana hapo upanga🙆♀️🙆♀️kumbe ndo wewe ulimla shangazi yangu na kusababisha mtafaruku mkubwa!!
Nakukumbuka sana,nicheck dm
Dini ya haki gani!
Acha dharau kwenye dini za watu, Mungu hana dini bali ana watu aliowaumba ambao kama kweli unampenda Mungu hautadharau au kuwadhuru aliowaumba.
Huyo Mungu wa kumuadhibu hayupo labda uamue wewe kumdhuru kwa panga km kawaida ya watu wengi(sio wote) wa stahili yako mlivyo.Hayo ndiyo mawazo yako ee, kwamba Allah hana dini!!!!!!!!!, umepotea.
Pia, Naheshimu sana imani za wengine, bali kwa kitendo alichokiamua huyo mama siyo kabisa, na asiporudi kwenye uisilamu basi atapata anachostahili mbele ya Mwenyezi Mungu
mbona wanaume wenye umri mkubwa wanaoa dogodogo?Hii ndoa ningekuwa mimi ni mchungaji sidhani kama ningeifungisha. Mpishano wa umri ni mkubwa sana.
Labda wachungaji mtusaidie kwa mujibu wa imani ya Kikristo je, ndoa ya aina hii ni halali kuifungisha?
Na kwa upande wa Waislamu nao je, ndoa ya mpishano mkubwa wa umri hivi inaruhisiwa?
hebu huyo mama asimame tumuoneKwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.
Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.
Kijana kwa muonekano ni marioo, familia yake imemsusia kuhusu suala hilo.
Mama ana watoto 3, kijana naye anasema kwa kuwa amependa boga basi hana budi kupenda na maua yake😊.
Harusi ni Jumapili hii tarehe 05/12/2021.
Mbwa ni yupi sasa hapo jike au dume?Hiyo laana mbwa huyo
Kama mwanaume anaweza oa binti mwenye umri wa mjukuu wake, kwanini mwanamke asiolewe na mtu mwenye umri sawa na mtoto wake? Tukiondoa motives za kijana, kila mtu anapoingia kwenye mahusiano au ndoa huwa na motives zake ambazo si lazima zangu zifanane na za mwingine.Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.
Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.
Kijana kwa muonekano ni marioo, familia yake imemsusia kuhusu suala hilo.
Mama ana watoto 3, kijana naye anasema kwa kuwa amependa boga basi hana budi kupenda na maua yake😊.
Harusi ni Jumapili hii tarehe 05/12/2021.
Wengine huwa hadi maratatu kamadozi ya dawa asubuhi, mchana na jioni hadi shahaw zinakauka, sasa hapo kinacho fuata sini dam sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].I second you,mabinti vijana ni shida sana kwenye mahusiano yaani wanatuzeesha na kutuua sana kwenye sex...mikongo na viagra inatupoteza sana.
Unakuta mdada kazoea kupigishwa bao mpaka sita,mwingine kila siku mchna na usiku! Na ataka kwenye ndoa iwe ivyo ivyo ni shida!
Wala asikutishe tena hamna kitu kinaamsha hisia kama kukuoneni mmetoka kuoga mko na kanga! Au unadeki chumbani kajikanga kanatikisika na mzigo😅!Dahhhh!!! Kwahiyo unashaurije tukiwa nanyi kwenye tujifiche fiche au?? Fanya kutusaidia ushauri tunaangamia kihisia mjue!!
Nipo sana mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo wee?
[emoji23][emoji23][emoji23]Dogo hana shida na namba D... [emoji23][emoji23][emoji23]