Akijitokeza mother mstaafu tena kama huyo nishtue mkuu nahitaji kuuona ufalme wa maisha mazuri siunajua Chief Hangaya kakaza? Hakuna hela wala nn bora niwe Marioooo.Ww unashangaa hii couple ?/alikuwepo kijana flan ali date na mstaafu ambae pia alikuwa ni mbunge ... Yule bi maza akamfazili mwana masomo yake ya MD kisha baada ya miaka kadhaa jamaa akaja kuzingua .............
Wanafanana ujinga.Dah🤔🤔🤔
Nimebaki najiuliza kwa kuzingatia uumbaji wa Mungu kwa kutangulia kumuumba mwanaume, majukumu ya mke na mume na wakati Mungu akisema atakufanyia msaidizi wa kufanana nae hawa wanafanana kitu gani😥😥
Mwanzo 2:18-25
"BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."
Acha mwenzio akunwe[emoji16]
Mwenyewe na mmaza ana 42 nasubiri apate divorce nitangaze ukamilifu wa dahali😊😊😊
Nimekuelewaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji1] [emoji1] [emoji1] watafanana baadae wakiwa kweny ndoa mwanaume atazeeka kwa stress za ndoa na mwanamke atanawiri kwa kuwa mmiliki
Rafiki yangu alizimia kumuona mchumba wa mwanae wamepishana miaka michache tu na mama mkwe. Alipozinduka anamkuta kijana wake amekunywa sumu.
Mitoto mingine sijui ujinga wanajifunzia wapi.
Sasa kijana wa miaka 21 anakwenda kuoa menopause hataki watoto?Tuwaombee tuu watoto wetu jamani
Punguza chuki.Namuonea huluma sana, mwanamke wa kiisilamu unaritadi sababu ya huyo kijana acyekuwa muisilamu!!! Atapata anachoctahili kwa Mwenyezi Mungu kama hatarudi kwenye dini ya haki.
Anaweza kuwa hataki watoto au tayari ana watoto lakini je, alichofuata hapo ni ndoa?Sasa kijana wa miaka 21 anakwenda kuoa menopause hataki watoto?
Tusicho fikiria ni aging process, unamuoa mwanamke mkubwa kwako kwa miaka 20+. Ule wakati wa kibofu kuleta matatizo kwa mama wa 60+ kijana wa miaka 40 ataelewa!Anaweza kuwa hataki watoto au tayari ana watoto lakini je, alichofuata hapo ni ndoa?
Au umarioo/maslahi/kitonga/kulelewa/au ngono tuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rafiki yangu alizimia kumuona mchumba wa mwanae wamepishana miaka michache tu na mama mkwe. Alipozinduka anamkuta kijana wake amekunywa sumu.
Mitoto mingine sijui ujinga wanajifunzia wapi.
Msaidizi si ndiye huyo kijana kaja sasa ndo muda umefika Mungu kawakutanisha!Dah🤔🤔🤔
Nimebaki najiuliza kwa kuzingatia uumbaji wa Mungu kwa kutangulia kumuumba mwanaume, majukumu ya mke na mume na wakati Mungu akisema atakufanyia msaidizi wa kufanana nae hawa wanafanana kitu gani😥😥
Mwanzo 2:18-25
"BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."
Naunga mkono hojaKwenye namba 1 na 4, hujui usemalo [emoji23]
Kapigwa juju na hilo li mothelii [emoji16][emoji16][emoji16]Anaweza kuwa hataki watoto au tayari ana watoto lakini je, alichofuata hapo ni ndoa?
Au umarioo/maslahi/kitonga/kulelewa/au ngono tuuuu