Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

Dah[emoji848][emoji848][emoji848]

Nimebaki najiuliza kwa kuzingatia uumbaji wa Mungu kwa kutangulia kumuumba mwanaume, majukumu ya mke na mume na wakati Mungu akisema atakufanyia msaidizi wa kufanana nae hawa wanafanana kitu gani[emoji26][emoji26]

Mwanzo 2:18-25​

"BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."
Acha mwenzio akunwe[emoji16]
 
Namuonea huluma sana, mwanamke wa kiisilamu unaritadi sababu ya huyo kijana acyekuwa muisilamu!!! Atapata anachoctahili kwa Mwenyezi Mungu kama hatarudi kwenye dini ya haki.
 
Hilo sio tatizo kabisa, mimi mwenyewe natafuta mzee!
Sifa zao sasa..
1. Hawapendi sex ya kukomaa sana, wanatupenda vijana tunaokojoa fasta
2. Wanataka drive ile slowly hivyo hawatuchoshi.
3. Hawana ujinga wa kukamuana pesa na shida kibao, wengi aged wana maisha yao.
4. Hawahitaji sana sex mara kwa mara. Tofauti na vijana wanaendekeza ngono hadi umkojokeshe hii inatuchosha wanaume

Kwenye namba 1 na 4, hujui usemalo [emoji23]
 
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.

Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.

Kijana kwa muonekano ni marioo, familia yake imemsusia kuhusu suala hilo.

Mama ana watoto 3, kijana naye anasema kwa kuwa amependa boga basi hana budi kupenda na maua yake[emoji4].

Harusi ni Jumapili hii tarehe 05/12/2021.

Enenda ukamlee vema mwanangwa pamoja na wadogo zake, wanawe wa kufikia
 
Afrika tutafika mbinguni tumechoka sana, relationship is not about ages but love.
Screenshot_20211203-180413.jpg
 
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.

Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.

Kijana kwa muonekano ni marioo, familia yake imemsusia kuhusu suala hilo.

Mama ana watoto 3, kijana naye anasema kwa kuwa amependa boga basi hana budi kupenda na maua yake[emoji4].

Harusi ni Jumapili hii tarehe 05/12/2021.

Aangalie asije kula kuku na vifaranga vyake.
 
wamama wa design hii ukute hapo yeye anataka kukunwa tu maana kwa umri huo mwingine ndio genye zinakua juu sasa usiombe muwe mnakaa kwenye nyumba mko wawili tu apo ndani ni kutembea uchi tu wakati mwingine kitu inasimamia ndani
Wazinzi bana 😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂😂
 
Nilivyosema yeye hana aibu, nilimaanisha mama.
Tazama vizuri hiyo clip utaona mama analazimisha na ndiye head of house hold. Kijana akianza kujitambua ndoa chali. Kijana unaona alivyo na aibu na mama anaonesha ushindi.
 
Dah🤔🤔🤔

Nimebaki najiuliza kwa kuzingatia uumbaji wa Mungu kwa kutangulia kumuumba mwanaume, majukumu ya mke na mume na wakati Mungu akisema atakufanyia msaidizi wa kufanana nae hawa wanafanana kitu gani[emoji26][emoji26]

Mwanzo 2:18-25​

"BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."
[emoji1] [emoji1] [emoji1] watafanana baadae wakiwa kweny ndoa mwanaume atazeeka kwa stress za ndoa na mwanamke atanawiri kwa kuwa mmiliki
 
Namuonea huluma sana, mwanamke wa kiisilamu unaritadi sababu ya huyo kijana acyekuwa muisilamu!!! Atapata anachoctahili kwa Mwenyezi Mungu kama hatarudi kwenye dini ya haki.
Kwa sasa dunia inavyoenda kila mtu anajali furaha yake ila wenye kuwa na hofu ya Mungu niwachache hivyo tuacha watu wafanye yao nikuwaombea tu nasio kuwalaumu
 
Back
Top Bottom