Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Makonda ameshaanza kufungulia kokiii.
Tusubiri SASA mapigo kutoka Kwa washabiki WA yanga na wachawi wote WA yanga.
Ni Mtu na Robo tatu yuleMakonda ni mtu???
Kwamba mbinu za DABMbinu za kishamba mwenye kiwanda atakuwa na bima ofcourse
Mbinu kivipi?Mbinu za kishamba mwenye kiwanda atakuwa na bima ofcourse
Sad, huenda yule jamaa amekwenda kufichua uozo aliosemaKuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea.View attachment 2148547