Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Utakuwa ni mchezo unaochezwa na wale waarabu wajanja kutengeneza tukio katikati ya mgogoro wao na Makonda.

Yote ni kuendelea kutafuta public sympathy kwa mashabiki wa timu yao, kwa hili sidanganyiki.

Wanachoma kudanganya watu huku wakijua bima wanayo watalipwa.

NW wa Ardhi Kikwete hafai kabisa kuwa msuluhishi kwenye huu mgogoro, kuna conflict of interest hapa.
 
Tangu bi mkubwa aliposema tule kwa urefu wa kamba zetu ndo hadi haya yanatokea. Maana kila mmoja anapambana survival for fittest.
Enzi za jpm ujambazi ulikomeshwa licha ya wakosoaji wake kupotezwa au kubanwa kwa kesi za ajabu ajabu. Bashite anatamani yale makonteina yake ya enzi zile yangekuwa zama hizi angeupiga mwingi.
 
Ujambazi ulikomeshwa au alizalisha mauambazi aliowataka yeye??sema alizalisha majambazi wapya wenye roho mbaya zaidi ya aliowakuta
 
Kwa akili za watanzania zilivyo sishangai mtu kusingiziwa pasipo kuthibitisha😂😂😂😂 mnaraaaana wtZ
 
Back
Top Bottom