Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Hapa kinachofata ni GSM kujitoa yanga, wana utopolo wafe na makonda 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkali wa hizo kazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu kama kuna yeyote kafanikiwa kuchomoka na godoro la kuanzia inchi 10 la 5*6 anicheki.
Daudi Albert Bashite amesema muache kumzulumuKiwanda cha magodoro cha GSM chawaka moto pale Mwenge/Mikocheni Viwandani Walaya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Moto umeanza asubuhi hii muda wa saa 12:30 ya leo Jumapili Machi 13, 2022.
Chanzo cha Moto bado hakijafahamika.
View attachment 2148567
Kiwanda kina Bima,watalipwa na Bima.Nacheka kama mazuri[emoji28][emoji28][emoji28]
🤣🤣🤣🤣🤣Mashabiki wenzangu wa yanga kama tunaweza kwenda airport kuwapokea wapinzani wanaokuja kucheza na simba kwa bashasha zote tunashindwaje kwa umoja wetu kwenda kuuzima moto unaoteketeza kiwanda cha bosi wetu?
Mwenyewe nawaza kitu kama hiki kwa sauti.Inasikitisha sana...
Baada ya uchunguzi inawezekana ikakutwa kiwanda kuchomwa moto kusudi ili kumtia mtu hatiani...
Au kuna wasiojulikana wametumwa kufanya hayo kunyamazisha jambo...
Anawatumia salaam kuwa yuko imara!!Makonda anawapapasa