Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Kuna moshi mzito anga la Mwenge, Mawasiliano na Ubungo. Inasemekana Kiwanda cha Magodoro GSM kinateketea.View attachment 2148547
Sad, huenda yule jamaa amekwenda kufichua uozo aliosema

 
Kiwanda cha magodoro cha GSM chawaka moto pale Mwenge/Mikocheni Viwandani Walaya Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Moto umeanza asubuhi hii muda wa saa 12:30 ya leo Jumapili Machi 13, 2022.

Chanzo cha Moto bado hakijafahamika.
Your browser is not able to display this video.
 
missiles toka Gamboshi..sasa itakuwaje Tff na vile vi teams vilivyotapeliwa kwenye ule mkataba fake wa Gsm? hamlipwi kabisa na muache kiherehere kujivalia manembo ya hao jamaa burebure
 
Katika vitu Mange Kimambi ammemsaidia Makonda basi ni kuvujisha ile Clip na wote tukagundua kuwa kuna Mgogoro kati ya Paul na Gharib…otherwise Makonda angeweza kupatwa asiyopaswa kupata na tukajulishwa kuwa …imesababishwa na Msongo wa mawazo uliokuwa ukimkabili

Hili la kiwanda cha GSM bado natafakari kujua lengo la huu moto…siumizi kichwa kujua chanzo mie natafakari lengo la huo moto

Viongozi wajifunze uadilifu kwa kuwa wajue kuna siku hatokuwepo pale

Leo hii Makonda anasema anajua walio nyuma ya GSM wakati tunajua yeye ndie aliekuwa nyuma ya GSM miaka yote ya utawala wa Mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…