Dar: Kuanzia Novemba 30 Mbezi Luis Terminal itaanza kutumika rasmi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna magari yana yard nje ya ubungo kama Marangu coach zipo shekilango na mbagala pia kilimanjaro wanayo kigamboni...hawa watafanya sana biashara maana kulikoni utoke mbagala kwenda mbezi ukapande basi bora upandie mbagala hukohuko
 
Hadi sasa sijaona icha yoyote ya icho kituo kinachojengwa zaidi ya michoro
 
Tumeipenda Wenyewe Wala Hatukuandikiwa Barua Wacha Ituue!!πŸ™„πŸ˜πŸ˜
 
M
 
Wenye mabasi waione fursa ya kuwa na vituo vyao maeneo ambayo yapo mbali na stand, kama walivyofanya wenzao DarLux, Kilimanjaro Express, Marangu coach etc.

Msafiri anayetoka Chamazi, Kisewe, Chanika, Kigamboni, Pugu, G/mboto na maeneo mengine ya mbali hawezi kuwahi basi asubuhi bila kuingia gharama kubwa ya usafiri.
Vilevile msafiri wa maeneo hayo kushukia Mbezi toka mkoani ni usumbufu wa muda na gharama.

Ni bora kuwe na stand kama ya Mbezi sehemu tatu tofauti ndani ya jiji, ziwekwe kwa kubalance umbali ili iwe rahisi kufikiwa na msafiri toka sehemu yoyote ndani ya jiji. Serikali iachane na mpango wa kuwa na stand moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sanaaa....HAYA NDIYO TUYATAKAYO WATANZANIA....

#Maendeleo Hayana VYAMA
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ˜πŸ˜
 
Sio mbaya ila ni mbaya kwakuongezeka kwa gharama zakufika mbezi plus muda wakuamka ili uwahi vinginevyo ulale stendi tu maana kwa njia zetu hizi utaishia kuchelewa gari kila siku.
Hata waliochanika,Kigamboni mbelembele huko au Mbagala kongowe huko....ubungo ni mbali,hata wangejenga karibu na unapoishi wengine wangelalamika
 

Kuna magari yana yard nje ya ubungo kama Marangu coach zipo shekilango na mbagala pia kilimanjaro wanayo kigamboni...hawa watafanya sana biashara maana kulikoni utoke mbagala kwenda mbezi ukapande basi bora upandie mbagala hukohuko
Kama wataachiwa au wanaweza kuhamishwa wote kwenda Mbezi maana kutakuja malalamiko toka kwa wengine kuhusu ushindani wa biashara vingevyo wakiwaachia tutaona makampuni mengi yakirudi mjini tena. Hali hii ina gharama kwa watu lakini tukumbuke hata Ubungo walivyoanza watu walikuwa wanaona mbali ikaja kuonekana kawaida tu na Mbezi itakuja kuonekana kawaida tu tofauti ni kuwa gharama za kusafiri zitaongezeka.
 
Kuna sehemu hapa Dar kufika ubungo tu ilikuwa changamoto,je hapo mbezi unadhani itakuwaje.
Mf.mbagala,g/mboto n.k
G mboto inabd watumie njia ya majumba Sita wapitie kinyerez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…