Watakuwa wameshamaliza ujenzi?Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa.
Aidha wadau wote wanakaribisha kutuma maombi ili kupata maeneo mbalimbali ya biashara katika kituo hicho.
View attachment 1621185
Kwa sasa ni rahisi mno hiyo route unayosema, ni lami tupu kupitia Kinyerezi unatokea Ukonga na hakuna foleni popoteKuna sehemu hapa Dar kufika ubungo tu ilikuwa changamoto,je hapo mbezi unadhani itakuwaje.
Mf.mbagala,g/mboto n.k
Wabomoe Ubungo Plaza?Niliwahi kusikia hii.. kwamba pale panajengwa upya... kwamba watabomoa kuanzia ubungo plaza wajenge kituo cha biashara chenye stendi kuu ya mwendokasi
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣 Et bango la karibu Dar Es Salaam lilikuwa FireDaaah...aisee. Ndiyo maana ulikua unaona manyota nyota tu hapa na kila ukijaribu kupiga Picha Stand ya mkoa inakaaje Kisutu na Mnazi mmoja haikuingii akilini😀😀😀.
Tanzania imetoka mbali, miaka yetu bango la karibu Dar es Salaam likikua pale Fire.
Baadaye likasigezwa mbele ya Mbezi huku Mizani na geti la Maliasili vikiwa pale Ubongo fyry over/mataa
Baada ya stand kuanza magari yatakuwa mengi kutakuwa na msongamano mkubwa. Hiyo barabara ni nyembamba sana, hata sasa muda wa jioni na asubuhi msongamano upo.Kwa sasa ni rahisi mno hiyo route unayosema, ni lami tupu kupitia Kinyerezi unatokea Ukonga na hakuna foleni popote
Kwanini atumie bodaboda wakati daladala za Mbagala zipo 24 hours?Kwa mtu anaekaa Mbagala na ana safari ya kwenda Morogoro, itamgharimu pesa nyngi zaidi kutoka Mbagala kwenda stand kuu endapo atatumia bodaboda ili awahi kuliko hata kutoka Dar kwenda Moro.
Huko malamba mawili n mbali afu mabonde tyuuuh, barabara mbovu lolSasa Nyumba Zetu za Kifuru,Malamba Mawili, Kingazi Zitapata wapangaji..
In five or more years hapo ndio patakuwa Centre ya Dar kwasababu kuanzia Mlandizi hadi hapo kati patakuwa pamejengeka vya kutosha, ni mtazamo wangu inaweza isiwe sahihi sana kwasababu kwa mfano chukulia waliofanya feasibility study ya karakana ya BRT iwekwe Jangwani si ni engineers (Yawezekana honored ones) lakin angalia kinachotokea leo mvua ikipiga.Stand iko mbali Sana lol, ila tutazoea taratibu tyuuuh
Hii nchi sijawahi kujua hawa maafisa mipango miji huwa wana kazi gani. Miaka ya 1980s kituo cha ma Bus ya mikoani kilikuwa Kisutu na kingine Mnazi mmoja. Ubungo Bus terminal ilikuwa ni yard kubwa tuu ya UDA enzi za Icarus. Enzi za Mwaibula na Keenja ndiyo Walahamishia kituo kwenda pale terminal, na pia UDA walishaiua kiaina. Sasa eti badala ya kuwa na plan ya kutanua pale Ubungo Terminal enzi pana nafasi ya kutosha ili wajenge kituo cha kudumu, cha ghorofa ili kutoa nafasi ya kutosha kwa ma Bus, wao wakalala usingizi. Sasa Wanawapeleka watu hukooo mbali... Hii pia nimeikuta Iringa, kituo kipo about 20km or so from town center.....Imagine unatoka mbagala kwenda mbez dhaaa
Si kweli, kwa jiografia ya Dsm watu wanaokaa jirani na Kisutu wengi wao ni wahindi, Waswahili wengi wako kuanzia Magomeni kushuka nyuma kwenda pande zote. Infact wengi walifurahia sana huo uamuzi wa akina Keenja Akiwa jiji na yule Mwaibula (sijui wako wapi hawa jamaa maana wana mchango mkubwa sana kwa jinsi walivyojitahidi kulipanga jiji enzi zao)Nakumbuka wakati Stand inahamishwa kutoka Mnazi Mmoja na Kisutu kwenda Ubungo watu walilalamika na kulia sana, ilikua bado kidogo waandamane.
Wakapiga sana simu redio Tumaini kulalamikia hatua hiyo wakidai Ubungo ni Mbali sana[emoji2][emoji2][emoji28].
Sasa hivi Jiji limefunguka sana, kikubwa ni kuwepo kwa utaratibu mzuri wa usafiri kutoka pande hizo hadi Mbezi.
Huko tuendako Stand itahamishiea Moro na Dodoma na bado watu watawahi na kusafiri kama kawaida.
Changamoto hii!Hii nchi sijawahi kujua hawa maafisa mipango miji huwa wana kazi gani. Miaka ya 1980s kituo cha ma Bus ya mikoani kilikuwa Kisutu na kingine Mnazi mmoja. Ubungo Bus terminal ilikuwa ni yard kubwa tuu ya UDA enzi za Icarus. Enzi za Mwaibula na Keenja ndiyo Walahamishia kituo kwenda pale terminal, na pia UDA walishaiua kiaina. Sasa eti badala ya kuwa na plan ya kutanua pale Ubungo Terminal enzi pana nafasi ya kutosha ili wajenge kituo cha kudumu, cha ghorofa ili kutoa nafasi ya kutosha kwa ma Bus, wao wakalala usingizi. Sasa Wanawapeleka watu hukooo mbali... Hii pia nimeikuta Iringa, kituo kipo about 20km or so from town center.....
Daaa!!! Sasa sisi watu wa Mbagala tutakoma!Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na mabadiliko ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani.
Kuanzia Novemba 30, 2020 mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani yataanza kutumia kituo cha Mbezi Luis na sio Ubungo kama ilivyo sasa.
Aidha wadau wote wanakaribisha kutuma maombi ili kupata maeneo mbalimbali ya biashara katika kituo hicho.
View attachment 1621185
Unalala stendi!Alafu reporting time saa 5.30 asubuh