Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Big point🀝🀝
 
Fb wamejaa sana, utaona mwanaume mjinga anaanza kukufuata inbox eti nimekuelewa nataka tuwe marafiki. Unamuuliza sitayati tu marafiki humu fb, bila aibu anasema nataka nikupe tunda 🀬😀🀬 Nitakuja kuua mtoto wa mtu eh!
Njoo nikupe tunda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Duh πŸ™„ πŸ™„ !! Dunia ina Siri.Sasa viongozi kufanya hivyo sababu ni nini? Si wana hela na wake zao?
 
Bahati ya konyo😎😎😎😎
Mimi hata nikikutana na shoga barabarani naona siku yangu imeharibika!!
 
Straight uchwara kujitambua kwenye ngono au? Mngekua mnajitambua nchi ingekua hoe hae hivii? Ustaarabu gani unao zungumza wee hapa? Kununua Malaya na makahaba? Kuzalisha single mama, na watoto wa mtaani?

Ni wa muhimu yes ndo maana kutwa mnawazungumzia, wangekua takataka km usemavyo si mngewapotezea kule.

Wagonjwa wa akili na maradhi ni Pa1 na hao straight uchwara, ndoa kila siku chalii, malalamiko ya mahusiano kede kede humu, nyuzi za wagonjwa wa zinaa zinatamalaki humu kwa straight uchwara, mara UTI sugu, mara HPV, mara sundo sundo, mara uume unalika, full tafranii.

Em njoo na hoja za maana, hizi zako ni porojoo na hazistui kwani, kwa kifupi umepuyanga, em rudi upya tena.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…