Dar kumeongezeka sherehe za wakina dada kuwaalika mashoga

Kinacho nifikirisha HIVI HAO mashoga HELA wanatoaga wapi, YANI Yana HELA MPAKA unajiuliza Hawa WATU mtandao WAO NAHISI ni mkubwa


Full stop, kwishaaaaa
Mtandao wa nini? Wanafanya kazi, wanafanya biashara wanapata hela.
 
Serikali ndio ina uwezo wa kukomesha haya matukio by kuzindua mahakama maalumu kwa ajiri ya mashoga na LGBTQ.

Gonga likes kama unakubaliana nami!!

Ushoga unaanzia majumbani hilo ni jukumu la wazazi. Tunzeni na kulinda watoto wenu. Serikali kuanzisha mahakama ni kuchezea rasilimali na ujinga.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Coca unacheka wakati mi Niko siriasi. Mi kwako tayari nimezama mazima mazima mambo mengine TUTAJUANA huko huko MBELE kwa mbele.

Samahani kama mnawafahamu moderators NAOMBA nibadilishwe jina Alex ni jina LANGU halisi nabadili niitwe mkaka anae mpenda coc. Hivo TU


Full stop, kwishaaaa
 
Mkuu m nipo kwenye listi ya wazibua na sio wazibuliwaji naomba kwa heshima na taadhima nitenganishe nahayo mapapai hapo juu
Yaani we ndio hujielewi kabisa afadhali ya wenzio waliokiri hadharani kuwa wanafirwa.

Unaifahamu dhana nzima ya ushoga? Anayefirwa na anayefira wote ni mashoga chukua hiyo akilini, Mtu asiye shoga hawezi pata hisia wala wazo la kumuingilia mtu wa jinsia yake.

Na kihistoria ninyi ndio sababu ya ushoga kwenye jamii, ninyi ndio mnaoanza kuwaingilia watoto wadogo wa kiume.

Be warned, ole wako jamhuri ikukute na mtoto!
 
Acha ngonjera ww
 
Nikuulize wewe mtag jamaa mwambie afute post la sivyo naenda kwa mods kwa Kuniharibia reputation mkuu, naaminika sana hapa jukwaani
Mkuu mi sijui jamaa katokea wapi anasema vile nahisi anajua mi na weww azijawahi kuiva ndo mana katumia hiyo chance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…