Wee ni muongo sana, kitaje hiko chama, na onesha hiyo mahakama ilipo..
Hicho chama ni CCM na viongozi wake wakuu ndio waliosema ni haki za binadamu na pia ndio uhalisia.
Sio kwamba hicho chama kilitoa Official press kupinga hilo, ila baadhi ya viongozi na wanachama maarufu waliwahi kupingaDah ! Kwa hiyo haya mambo(LGBTQ ) Kuna wanasukuma yatokee na yaendelee kuwepo? Hebu niambie chama gani kilipinga kuhukumiwa kwa hao mashoga?
Kwa hio hawa uliowatag ndio wanakufira ?????Kila mtu atumie kinyeo chake vile anaona inafaa.
Sasa hapo kosa lao ni nini? sheria za nchi zinasemaje? Katiba inasemaje?
Kama haupendi jinsi dume linavyojiweka kidada, hilo ni tatizo lako.
Basi mwambie samia awakataze madume kuvaa SHUMIZI.
Eeeeh, tumechoka sasa, ukikaidi, ukijifanya hupendi kuona madume yamevaa shumizi nenda Bungeni ukatunge sheria ya UVAAJI WA SHUMIZI, kapitishe mwenyewe utie saini uwape polisi waanze kuwacharaza viboko.
Tumechoshwa, tumechoka, hata ukitaka kujamba unaambiwa acha usijambe, sheria imezuia.
Mnataka tukajambe wapi? Kila kitu sheria.
Cc: Extrovert cocastic dronedrake Mzee wa kupambania
Naona Msajili wao umetia timuThubutuu yake, labda km amechoka kuwa waziri, unadhani haoni hayo mambo? Aulize wenzie kilichowakuta na serikali iliwakana.
Na mtalia sana, yaan hapo badoooo.
Wasengeeeee hoyeeeeeee!!! πππππππ
Mada kama hizi hukosi kuwepo mana n kama nawe n mhusika hvy hutak kuzungumziwa πThubutuu yake, labda km amechoka kuwa waziri, unadhani haoni hayo mambo? Aulize wenzie kilichowakuta na serikali iliwakana.
Na mtalia sana, yaan hapo badoooo.
Wasengeeeee hoyeeeeeee!!! πππππππ
Sasa wee hujui Dunia imefunguliwa? Huyo zamani π±ilikuwepo?Kabisa.
Zamani mashoga walijificha na hata kumjua ilikuwa ni gossips ila siku hizi ni kawaida sanaa.
Ah inawezekana π kwenye kila jamii huwez kukosa watu wa namna hy
Alafu nakumbuka kuna jambo uliahidi kulileta hapa jukwaani mbele ya waziri Dkt. Gwajima D mbona ukapotea mazima ndugu yetu? Au bado unaandaa Script?Na mtalia sana, yaan hapo badoooo.
Wasengeeeee hoyeeeeeee!!! πππππππ
Wee mbona hukosi pia na uko hapa, ni muhusika eeeh?Mada kama hizi hukosi kuwepo mana n kama nawe n mhusika hvy hutak kuzungumziwa π
Badoo sijakamilisha, ntalileta usiwe na harakaa.Alafu nakumbuka kuna jambo uliahidi kulileta hapa jukwaani mbele ya waziri Dkt. Gwajima D mbona ukapotea mazima ndugu yetu? Au bado unaandaa Script?
Tena ntamfunga kibwebwe asasambue na kudadambua.Ni kweli dada! Hata wewe ukiwepo Katika sherehe halafu shoga akaanza kusasambua ,utashangilia? π
Na kuwaharishiaa pia. ππππππSawa bro cocaπ€£π€£
Hakuna namna
Endelea kuwanyea....
π€£π€£
Waulize.Kwa hio hawa uliowatag ndio wanakufira ?????
Ukiona kuna jambk baya linatokea then maoni yako yanalalia upande wa kutetea hilo jambo baya jaribu sana kujitathimini ni nini unataka katika haya maisha.Jamani ushoga kuukomesha ni ngumu ni biashara kongwe sana toka agano la kale watu wa sodoma walikuwa wanapigana miti balaa hadi walifikia hatua ya kutaka kumfanyia kitu mbaya malaika.kubwa ni kumuomba mungu atunusuru na haya mambo.
Sasa huyo mwanaume mwenye akili timamu si ndio anawafokoa.Ukichunguza sana wanawake hasa ndio wanaendekeza ujinga wa hawa wapumbuvu, tena hasa ma single mama.
huwezi ona mwanaume mwenye akili zake timamu au mwanamke mwenye mahusiano yake thabiti kualika mashoga kwenye shughuli zao.