Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

Lakini siku hizi kila mtu anajua kusajili line ni bure, line za siku hizi sio kama za zamani zinakuja zimeshakatwa, siku hizi watu wengi hawanunui vocha bali wananunua vifurushi kupitia mobile money.
Kazi umeipa upinzani tayari
Hayo yote yapo, utapata wajuaji uchukue kidogo lakini utakuta na mangumbalu uwapwige hata hizo. Buku
 
Mleta mada umewahi kujihusisha na biashara ndogo ndogo? unamwaminisha mtu timamu kuwa mateja wanaweza kumkusanyia 200kg za chuma kila siku? yaani zaidi ya tani kwa wiki? watapata wapi kama siyo kwa wizi nawe hutokwepa kesi za ununuzi wa mali za wizi. Kwa kifupi si kila kitu kipo kama unavyokiona.
 
We unaweza kuwa na shuhuda nzuri zaidi
 
Hizo changamoto kwenye biashara zipo
Kupkea mzigo wa wizi ni sehemu ya changamoto
Hata wanaofanya biashara kubwa za madini wanapata hasara wanauziwa fake nk
Kikubwa Fanya changamoto zikija ndo maisha

Kg 200 ya chuma chakavu ni mzigo mdogo sana Kwa siku laZima upate
Weka connection kwenye gereji na sehemu zingine huu mzigo utapata
 
Mleta mada kasema kweli, na jinsi pesa inavyokuwa ngumu. Na watu wanabuni biashara mpya kila siku.
Pia hakuna kitu kinatupwa, Dar kila kitu ni pesa.
Nilienda Alaf kiwandani. Ukitoka upande wa soko, nikakuta vijana wanakusanya, vipande vipande vya mabati, nikamuuliza fundi wangu vya kazi gani?
Akasema hapo wanapima, vinauzwa kwa wanaotengeneza majiko ya mkaa, koroboi n.k
Nikajisemea shughuli ziko nyingi kumbe!!!
 
Laini moja? Hata ukipigia hesabu kwa ice cream moja Bakhresa anaingiza shingapi huwezi kufanya biashara

Unatakiwa uwe na malengo ya lain 100 hadi 200 kwa mwezi kwa mtandao mmoja let's say Voda
Mfanya biashara mwenye utimamu lazima ajue faida ya bidhaa/huduma moja ndipo ajiwekee malengo ya bidhaa/huduma anazotakiwa kuuza kwa muda atakao jiwekea ili apate faida anoyoitarajia.
 
Lakini siku hizi kila mtu anajua kusajili line ni bure, line za siku hizi sio kama za zamani zinakuja zimeshakatwa, siku hizi watu wengi hawanunui vocha bali wananunua vifurushi kupitia mobile money.
Hizo zote ulizotaja ndio faida za kusajili laini sio hasara
Mfanya biashara mwenye utimamu lazima ajue faida ya bidhaa/huduma moja ndipo ajiwekee malengo ya bidhaa/huduma anazotakiwa kuuza kwa muda atakao jiwekea ili apate faida anoyoitarajia.
Sio zote huwezi piga hesabu kuwa katika gunia la mahindi punje moja itakuwa shingapi
 
Ntakupigia, tuongeee 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…