ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
- Thread starter
- #41
Hizo Zina siku yake nitaandaa Uzi wakeKwa niaba ya matajiri wa jf, hizo biashara hatutaki jamani....tuletee biashara za mitaji ya milioni 5.... 😀
Tutale tumekunja milioni, hizo hapana
Leo ngoja tuanze kusaidiana Kwa wale ambao hatuna pa kushika