Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

We unafanya ipi kati ya hizo???
 
Dar fursa zipo za kutosha
 
Motiveshono spika, nyingi apo ni kamba.
Hizo biashara za maji ya kandoro, vitafunwa na vikorombwezo vya wanafunzi kama ndo unaitegemea isogeze siku utasanda, vina faida ndogo hivi vitu labda uvifanye kwa ukubwa, sio ile uko na deli la kandoro unauza mia mia utegee kujenga, kulipa kodi na kula hapohapo.
 
Kila kitu kinawezekana ni bidii yako tu
 
Kama una mtaji & eneo, unaweza kufuga kuku wa kisasa(Broiller), wana faida ya 700 - 1000 kwa kuku 1 kwa mwezi.

Ukifuga kuku 1000 hukozi laki 7 kwa mwezi.
Hii biashara kuna ant yangu analia nayo siku hizi, kuna matajiri wamewekeza huko na wanauza kuku wakubwa kwa bei rahisi.

Mambo so rahisi.
 
Lakini siku hizi kila mtu anajua kusajili line ni bure, line za siku hizi sio kama za zamani zinakuja zimeshakatwa, siku hizi watu wengi hawanunui vocha bali wananunua vifurushi kupitia mobile money.
Sio kusajili bure na vocha ya sh 1000 unawekewa bureee kabisa.

Matangazo yapo kila kona sijui koro gani utamsajilia kwa pesa.
 
Happo
Hapo kwenye vifurushi vya kuongeza nyege/miguvu ya kiume wanafanya sana wanawake, sasa dume zima kuanza kuuza vifurushi haijakaa sawa, labda upige style ya Uganga. Kidume unauza vumbi la Kongo.
 
Happo

Hapo kwenye vifurushi vya kuongeza nyege/miguvu ya kiume wanafanya sana wanawake, sasa dume zima kuanza kuuza vifurushi haijakaa sawa, labda upige style ya Uganga. Kidume unauza vumbi la Kongo.
Hahahah kweli hilo la vifurushi tuwaachie wadada
 
Gharama za maisha kwa mji kama dar pia ni kubwa usisahau hilo.. huku kutumia elfu 10 kwa siku kwenye usafiri ni kawaida tu bado kula bado kuvaa bado mawasiliano bado makazi na n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…