Dar Kuna fursa nyingi za biashara na kupiga pesa, ni kuamua na kutokuwa na aibu tu

Mtoa mada Asante , ubarikiwe na Bwana.

Sasa nashangaa hao majamaa hapo juu wamekukalia kooni , wakati wewe umejaribu kuwaonyesha fursa , wako busy wanakosoa wakati hizo Biashara tajwa wapo watu wanazifanya hapa Dar na maisha yanakwenda vizuri , Sasa wao wanabisha nini ?

Mtu hana mbele hana nyuma na yeye eti anachagua cha kufanya πŸ˜„ Mara hiki vile mara hiki hivi ili mradi tu atoe kasoro , Sasa kwa mentality hiyo ngumu kutoboa

Kuna mishe tunaita Kama ni stepping stone , ufanye ulipe Kodi, ule , huku ukisave mtaji kidogokidogo kufanya mishe nyingine au kuiboresha hiyo uliyo nayo

Sasa wajuba wako so negative duh
 
Acha kazi ufanye biashara mkuu.πŸ˜ƒ
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hizi stori bwana kila mtu anataka pale alipo paheshimike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…