Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

Umofya kwenu!
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
Hili swali linawahusu Wanadarisalama wote? Yaani mpaka wale Wanadarisalama wa Mbezi Beach, Mbweni, Msasani, Oysterbay, Masaki, Mikocheni, nk.

Au ni wale Wanadarisalama pekee waishio Keko, Manzese, Mbagala, Gongolamboto, Mburahati, nk?
 
Hili swali linawahusu Wanadarisalama wote? Yaani mpaka wale Wanadarisalama wa Mbezi Beach, Msasani, Oysterbay, Masaki, Mikocheni, nk.

Au ni wale Wanadarisalama pekee waishio Keko, Manzese, Mbagala, Gongolamboto, Mburahati, nk?
Dar yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…