Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

Mmetuzidi
IMG_4212.png
 
Umofya kwenu!
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
Mkoa upo salama sana huu Kama unaona kuna JOTO na FOLENI nenda kaishi sehemu nyingine kwani kuna vijiji havijajaaa.
😂😂😂
RC Chalamila
 
Likizo ya ckukuu ikiisha naimani utarudii ulikotoka mkuu uwaachie watu Jiji lao
 
Back
Top Bottom