Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

Watu wa dar mnadeka sana sasa mtu kuhisi joto ndo anakuja kufungua uzi kweli?
Mkazi kabisa hawezi fungua uzi, mtoa mada atakuwa ni wale wa kupita.

sasa kapita kakutana na jehanamu ndogo, lazima aseme.

J3 nimeshuka alfajiri Shekilango, kusogea mpk River side nikaanza kufeel hewa nzito 🤣 yan sikuelewa kabisa. Nikabaki na mshangao mkuu…
 
Joto la wakati huu kidogo limezidi kwa kweli, ila tunavumilia hivyo hivyo, joto, foleni, hela kukosa thamani na mengi ya kuudhi tunakabiliana nayo, na ushauri wa bure kutoka kwa mkuu wa mkoa tumepewa wa kuhama, na bado tumepewa onyo na nabii kwamba ifikiapo mwezi wa tatu mwaka kesho 2024 dar inaangamizwa na maji ikiwa ni adhabu kutoka kwa Mungu kwa sababu ya dhambi!
 
Wamezoea mkuu. Mi linanitesa. Last week nilikuwa huko kwenye kikao. Aiseee kama upo Jikoni. Nilifika kwa kuchelewa boda akanipeleka Guest Moja na haikuwa na Jenereta na umeme ulikatika. Si kwa joto lile mkuu.
 
Back
Top Bottom