Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

Dar kuna joto wenzangu mnaishije?

Pole mkuu, tuna adapt kibishi:

1. Kulala na feni, na boxer tu,
2. Matembezi vest lazima ndani
3. Apply deodorant and antiperspirant
4. Kuoga x3 per day
5. Kufua nguo mara kwa mara
6. Piga sana maji na juice
7. Ukitembea sana ukikuta mti kivuli pumzika ni bure
8. Usiwasikilize wanaosema kwani hauna gari, kati ya watu 10 Dar wenye magari wapo 3 tu. Wote tunateseka.
9. Weekend nenda beach ya bure.
 
Pole mkuu, tuna adapt kibishi:

1. Kulala na feni, na boxer tu,
2. Matembezi vest lazima ndani
3. Apply deodorant and antiperspirant
4. Kuoga x3 per day
5. Kufua nguo mara kwa mara
6. Piga sana maji na juice
7. Ukitembea sana ukikuta mti kivuli pumzika ni bure
8. Usiwasikilize wanaosema kwani hauna gari, kati ya watu 10 Dar wenye magari wapo 3 tu. Wote tunateseka.
9. Weekend nenda beach ya bure.
Hiyo namba tatu unawezaje? Hata wadada wakiwa "huko" hawaogi mara tatu.
 
Kuishi dar ni Kama uko ndani ya oven. Ndo maana wakazi wengi wa dar wananuka nyama nyama cause wanabanikika na joto hatari. Sijui wanishije Hawa viumbe. Me nahisi wakazi wa daslam ni alliens weusi Toka sayari isiyo julikana.
 
Dar ni sehemu nzuri ya kukaa kama una
1. Above average kipato yani usafiri binafsi, nyumba yenye feni na AC, uwezo wa backup ya maji na umeme na makazi eneo ambalo ni jirani na shughuli zako za kila siku
2. Mtu wa kutoka sana weekend au katikati ya wiki wewe binafsi au wewe pamoja na familia yako sababu maeneo ya kwenda ni mengi sana

Nje ya hapo Dar ni mateso kwakweli
 
We nae,, kama hujui maisha ya Mtanzania yalivyo.
Ina maana we unakaa sehemu moja siku zote kama pua??
Watu wa dar mnadeka sana sasa mtu kuhisi joto ndo anakuja kufungua uzi kweli?
 
Povu la nini hapo? Kwanza hapo siyo kwenu ila unaona umefika. Bwege kweli
Wanaume wa dar acheni umama joto tu ndo mtu unakuja lalamika jf, na jioni kwenye vijiwe vyenu vya alkasusu hamshindwi ambiana joto limeletwa na Samia.
 
Umofya kwenu!
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .

Pesa inna regulate Joto sheikh, Kama huna hela, Dar es salaam ni hatari kuishi.
 
Dar hakuna joto, inategemeana na unakaa wapi. unakaa mburahati manzese, kigogo unataka upepo? kuna watu wanakaa maeneo yana hewa safi sana na upepo wa kutosha, yatafute maeneo hayo.
 
Umofya kwenu!
Husika na kichwa cha mada hapo juu.
Wenzangu mnaishije ? Hii hali mimi hapana .
Mkuu,
Sisi wengine hapa tumevaa Makoti na ndio maisha yetu ukisema joto tunashangaa...

Na hizi Ac kuanzia ofsn kwenye gar mpaka nyumbani ni shida sana mkuu yaan haya ma Ac sisi wengine joto tunalisikia sikia kama wewe usemavyo.....
 
Back
Top Bottom