Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Pole mkuu, tuna adapt kibishi:
1. Kulala na feni, na boxer tu,
2. Matembezi vest lazima ndani
3. Apply deodorant and antiperspirant
4. Kuoga x3 per day
5. Kufua nguo mara kwa mara
6. Piga sana maji na juice
7. Ukitembea sana ukikuta mti kivuli pumzika ni bure
8. Usiwasikilize wanaosema kwani hauna gari, kati ya watu 10 Dar wenye magari wapo 3 tu. Wote tunateseka.
9. Weekend nenda beach ya bure.