B baba-mwajuma JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 4,178 Reaction score 7,591 Jun 21, 2023 #41 Nobunaga said: Inapunguza "Chembe Sahani"(Platelets) ambazo zina kazi ya kufanya damu isigande kwenye mzunguko wake... Kwa kawaida huwa zinaanzia 150 ila wengi wenye hii malaria unakuta wanazo chini ya 100, kuna mmoja alikuwa nazo 9 tisa tuu. Click to expand... Ewaa, Asante kwa kunikumbusha, niliambiwa hivi hivi nilipoenda kumuangalia mgonjwa. Hii Malaria ni Hatari sana.
Nobunaga said: Inapunguza "Chembe Sahani"(Platelets) ambazo zina kazi ya kufanya damu isigande kwenye mzunguko wake... Kwa kawaida huwa zinaanzia 150 ila wengi wenye hii malaria unakuta wanazo chini ya 100, kuna mmoja alikuwa nazo 9 tisa tuu. Click to expand... Ewaa, Asante kwa kunikumbusha, niliambiwa hivi hivi nilipoenda kumuangalia mgonjwa. Hii Malaria ni Hatari sana.