baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Ewaa, Asante kwa kunikumbusha, niliambiwa hivi hivi nilipoenda kumuangalia mgonjwa.Inapunguza "Chembe Sahani"(Platelets) ambazo zina kazi ya kufanya damu isigande kwenye mzunguko wake...
Kwa kawaida huwa zinaanzia 150 ila wengi wenye hii malaria unakuta wanazo chini ya 100, kuna mmoja alikuwa nazo 9 tisa tuu.
Hii Malaria ni Hatari sana.