Mnahangaika mpaka mnatia kinyaaHuyo Mbowe jana kaiambia Mahakama anaumwa dengue......leo anafanya sherehe ya kujikabidhi fomu.... Yaani Ufipa ni full comedy!
Hakika ni Furaha kubwaKilala Kheri Makamanda. Mungu awatangulie ktk kutimiza malengo yenu.
Wewe ndio unatia kinyaa kukaa ndani ya kaptura ya Mbowe!Mnahangaika mpaka mnatia kinyaa
Wewe uko ndani ya Kaptura ya nani? Maana umwaziacho mtu ndicho ukitendachoWewe ndio unatia kinyaa kukaa ndani ya kaptura ya Mbowe!
Sawa ni wenzenu CDM, lakini mjue ni CCM damu, ni huo uhuni waliofanyiwa wakahama. Wakiombwa radhi, wakaongwa vyeo, hakika watarudi "kwao". Hasa Mwambe, simwamini katu. Sumaye ameumizwa vya kutosha na CCM, inawezekana katu asirudi!Cecil Mwambe na Fredrick Sumaye
Hahahaaa...... Unabugia matone tu ya Mnyasa Freeman!Wewe uko ndani ya Kaptura ya nani? Maana umwaziacho mtu ndicho ukitendacho
matusi tena, jiepushe na matusi. Haya, bona nasikia kuwa Lumumba mmepeana zamu za kufua chupi za Jiwe na mke wakeWewe ndio unatia kinyaa kukaa ndani ya kaptura ya Mbowe!
Kuna tofauti ya kufua na kukaa ndani ya kaptura we mangi!matusi tena, jiepushe na matusi. Haya, bona nasikia kuwa Lumumba mmepeana zamu za kufua chupi za Jiwe na mke wake
kufua chupi, chupi za.... mh! hayaKuna tofauti ya kufua na kukaa ndani ya kaptura we mangi!
Kila la kheri wamachame kwenye makabidhiano yenu ya fomu!kufua chupi, chupi za.... mh! haya
Umetoa ushauri mzuri.UtazingatiwaSawa ni wenzenu CDM, lakini mjue ni CCM damu, ni huo uhuni waliofanyiwa wakahama. Wakiombwa radhi, wakaongwa vyeo, hakika watarudi "kwao". Hasa Mwambe, simwamini katu. Sumaye ameumizwa vya kutosha na CCM, inawezekana katu asirudi!
Utatukana mwisho utatuliaHahahaaa...... Unabugia matone tu ya Mnyasa Freeman!
Lumumba hawana hoja.Kwao matusi ndiyo hoja.Na ndipo tunapowashindia hapomatusi tena, jiepushe na matusi. Haya, bona nasikia kuwa Lumumba mmepeana zamu za kufua chupi za Jiwe na mke wake
Moderators..Dhibitini matusi pleaseKuna tofauti ya kufua na kukaa ndani ya kaptura we mangi!
Tusi liko wapi hapo?Moderators..Dhibitini matusi please
Hujitambui kijana.PoleTusi liko wapi hapo?
Hujasoma fasihi wewe!