Dar kurindima leo wakati vijana CHADEMA wakimkabidhi fomu ya kugombea Uenyekiti Freeman Mbowe

Dar kurindima leo wakati vijana CHADEMA wakimkabidhi fomu ya kugombea Uenyekiti Freeman Mbowe

Chadema hamtumii akili
Ilipaswa kufikia sasa nyie ndo muwe chama pinzani chenye nguvu kama au kuzidi CCM ila hamna akili
Mtakasirika ila mlikuwa na chance ya kuonesha uimara wenu ila akili zenu mbovu
Endeleeni na maigizo yenu
 
Back
Top Bottom