DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada


mnatuletea viti 10,000 kama hivi, maana yake nini, au watoto wetu siku hizi wanajifunza kuwa receptionist wakiwa shule ya msingi. acheni kudangaya uma. misaada yenu njooni mchonge madawati na meza sio kutuletea sinema
 
Intelligence ya TRA imebaini kuwa huo msaada wa hivyo vifaa kuna harufu ya upigaji, someni kitabu cha yericco nyerere " ujasusi wa kiuchumi" mtang'amua angalau kiduchu. Michezo anayoicheza DAB ilishafanyika miaka ya 1976s. huko Philadelphia pale mayor wa jiji hilo alipokuwa akitumia back up ya umaarufu wake na vyombo vya usalama kujinufaisha. Someni mjielimishe wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole. Inasikitisha sana na kukatisha tamaa. Na uuzwaji wa hivyo vitu utakuwa wa dili dili, yaani vitanunuliwa kwa bei ya ovyo then vitauzwa tena mitaani kwa bei kubwa
 
When the dark clouds are gathering and the winds are howling...you know there's a storm a coming! Yes, yes! I can hear it against my window
 
Mkuu nina shaka na upenzi wako wa somo la sheria, kuna kifungu kipi kinampa waziri nguvu za kusamehe kodi kwenye samani? Nimesikia waziri akisema samani inabidi zilipiwe kodi kwa mujibu wa sheria.
kuna miradi kama wa reli ya SGR,waziri ameondoa kodi kwa samani za ofisi na majumbani wa wataalam wa mradi,unasemaje kwa hilo
 
Sheria si mnatunga wenyewe na kuzipitisha kwa kusema ndioooo!!Sasa hapo unashangaa nini?!

Alafu jiulize ni kwanini mwanzoni aliakana alafu baadae akayakubali?

We jua tu hilo ni dili limebumbuluka.
walisema ngoma ikilia sanaaaaa. hii inapsuka! wajuzi wa mambo humu walimwambia bwana makonda/bashite juu ya tabia zake za kiburi na majivuno. aitishe tena mkutano wa ilani aeleze hili lipo ukurasa wa ngapi?
 
Kwaiyo umeona hiyo 1.2b ni ndogo kiasi cha waziri kuendelea kukaa Dodoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisikia utawala uliofitinika ndo huu, visasi na chuki nje nje. Yaani walimtumia mama wa watu kuuza sura kumbe wanaitafuta pesa waile, zile pesa kama kuna watu kulaanika lazima watalaanika tu
Ndiyo na nikaingia cha kike nikachanga kuputia CRDB 400 USD
 
Dk Mpango angeonesha njia kwa kununua angalau kontena moja kuthibitisha kwamba yeye haogopi vitisho vya kulaaniwa yeye na uzao wake.
Mwisho wa siku hizo fanicha zitaozea hapo bandarini wakose wote!
Uwezo mbona anao wa kununua
 
Nadhani shetani ni baba yako Mallia
 
toa povu wknd tujenge heshima,
toa povu wototo wapishane chooni,
toa povu tujnge heshima kwamchpko
toa povu.wanaotaka mabadiliko wasiyapate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…