DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Pual Joseph Makonda Magufuli!!!!

Mnachezewa akili na wasio na akili soma jina hapo juu.
 
Ndio mjiulize zile safe mle ndani zinapelekwa shule ya msingi wakafiche nini? Penseli au?

Ndo ushangae mkuu halafu kamshahara kangu kaduchu kanakatwa kodi bila huruma yeye anataka kukwepa kodi.... hapana lazima alipe....
 
Hili naweza kuamin mara nyingi mizigo ya magumash mbele wanaweza kuweka vitu vya kawaida ila ndan kabisa unakuta kuna mzigo wa maana

Ilishawai nitokea congo iyo kipindi tumepeleka mzigo sisi tunajua tumepakia mikeka ya plastict na na spare za piki piki kumbe ndan kabisa kuna matairi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mwenzako ananyolewa zako tia maji. Maneno ya gwajima yatatimia mda sio mrefu
 
Hivi sasa sakata la makontena ya Makonda limefikia patamu, baada ya Musiba kutamka wazi kuwa angekuwa na mamlaka yeye angeyachukua jumla na siyo kuyapiga mnada!

Amempongeza waziri wa fedha Dr Mpango kwa kusimamia sheria na kubainisha kuwa nchi ina mihimili mitatu na inafanya kazi bila kuingiliwa!

Hivyo amemtaka Makonda kulipa kodi ya hayo makontena, ambapo inaelezwa kuwa makontena hayo yamebeba samani za ofisi za shule lakini kwa nyepesi nyepesi ni kuwa kilichopo ndani ni samani za hotel na viti na meza chache za ofisi zilizowekwa kama geresha tu.

Amesema makontena hayo ni zaidi ya 800...!

Ngoja huu mtanange tuuone Musiba Vs Makonda.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…