balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Mpango mipangoni
Dr. Nimemkubali sana. Sisi walimu hatutaki Watu wakwepe kodi kwa kutuegemea sisi.
Yeye alipe tu mambo mengine yaendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango mipangoni
Ndio mjiulize zile safe mle ndani zinapelekwa shule ya msingi wakafiche nini? Penseli au?
Au mitihaniAttendance book.
Ndio mjiulize zile safe mle ndani zinapelekwa shule ya msingi wakafiche nini? Penseli au?
Halafu eti atakayezinunua alaaniwe.Huyu kijana hamnazo kabisa.Mwanamtandao Mashuhuri Afrika Mashariki na kati mwanadada Mange Kimambi amesema taarifa alizopenyezewa ni kuwa makontena 20 ya Makonda yamebeba furniture kwa ajili ya hoteli yake.
Mange amesema kwenye hayo makontena kuna hadi vitanda!View attachment 850688
Sent using Jamii Forums mobile app
HatariMako bhana...game LA pasi fupi anachezesha pasi ndefu..
Hana tofauti na Kocha wa ZAMANI wa Arsenal...Wenger
Hili game lake hata Yanga wangeshinda[emoji15]
Nimeupdate uzi, nimeweka video!Weka na kavideo mkuu..