DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Kwahiyo ukipambana na madawa ya kulevya hautakiwi kulipa kodi,?
Mimi sioni inshu hapo ya ajabu
Analipa kodi alizotaka kukwepa maisha yanaendelea
 
Kingereza jamani hivi ni red handed au ready handed ahh potelea mbaya
Watume na za kodi

Sent from my SM using Tapatalk
 
Kwahiyo madawa yalimfanya apate zero fm4 ?
Madawa yalimfanya afoj vyeti
Madawa yalimfanya avamie vituo vya redio
Madawa yanatuma kuteka na kuua raia?
Madawa ndio yanamfanya aropoke kuwa atawachapa walimu viboko

Mufilis!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana "PhD ya Kujikomba"....full stop.
 
Kama trillion 1.5 ilipotelea hewani naamin na hii ya kontena 20 itapotelea hewani .this is Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…