DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Big up Dr Mpango, kazi unaanza kuielewa.
Hakuna wa kukwepa kodi kimacho macho!
 
Mpaka sakata hili limefikia hapa maana ake jiwe amechoshwa na dogo na kawaruhusu TRA wafanye kazi yao, vinginevyo tusingejua wala kusikia lolote linalohusu hayo makontena kama makontena ya mchanga wa makinikia[emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye hili suala team Lumumba tuko upande gani? Kwa Mpango/TRA au kwa Makonda?! Nijuzeni jaman make napata tabu kuchangia

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunasikilizia kama wakati ule tulibugi vibaya, tulikuwa upande wa nape kumbe baba jei Yuko na babakigani, kwa sakata hili tunasikilizia kwanza na kumsoma baba jei,
 

Huyu Bashite si alikana kuwa hajui lolote kuhusu hayo makontena??? Hebu tujikumbushe kidogo......
http://www.youtube.com/watch?v=KQvFQBhJSm0
 
ndugu zangu Muda ni shahidi mzuri ipo siri nyuma ya hizi container na uwenda mwisho wa hii picha wa tz watajuwa mengi.
 
Hahahaaa, Bashite kavaa dera akimsibiri rijali. Bwana Plan hana mpango, eti alishaoa zamani na usaliti hataki. Sinema ipo series No. 3. Tunamsuburi mzee baba.
 
Kwa sasa kakwama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…