kulangwa22
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 739
- 546
Tunakaribia kuzungumza lugha moja
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent from my iPhone using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaweza onesha mapenzi ya kweli kwa bashite na aka mfire mpango kwa kumtaftia sababu hata ambayo si sababu.
Mfano, unaamini magulu alitumbuliwa eti kwa sababu haendi misibani na hatoi salam za pole?
Zikiozea hapo basi ni kuwa watu hawaoni umuhimu wa kununua na siyo kuogopa laana. Mtu yeyote anayetaka kununua na akawa anaogopa laana namba ani PM mimi nimsaidie kununua bila hofu yoyote ili mradi fedha ziwe zake.Dk Mpango angeonesha njia kwa kununua angalau kontena moja kuthibitisha kwamba yeye haogopi vitisho vya kulaaniwa yeye na uzao wake.
Mwisho wa siku hizo fanicha zitaozea hapo bandarini wakose wote!
Ya kwanza kumkataa baba yake kwamba haitwi Bashite, pili kukataa uumbaji wa Mungu kwamba alimuumba awe peke yake yeye akaenda kujipasua china ili apate mtoto.
Dady is tired 😤DADY IS COMING
Hao ndio maana tunawaita CHUAMIA TUMBO wao hawajui la kesho maana wapo tayari kuuza utu wao ili mradi mkono uende kinywaniMkuu sikujuwaga ila tuombe uhai hawa jamaa wana sahau kuna kesho !
Pia dr mpango hana uwezo wa kufanya hayo anayo yafanya bila baraka za mtakatifuDr mpango huna ubavu wa kupambana na mtoto wa malaika........
Nasema utapataaa taaaabuuu sanaaa dr mpango
Mtoto wa baba... Ngoja tuone hii flamu ya Kisukuma. Maana mara paaaa.. Yale yale ya Dr Shika yana tengenezwaKama kungekuwa na laana, Bashite asingekuwepo juu ya uso wa dunia mpaka sasa.