DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Mungu anajua kuwaumbua watu tena kwa muda mfupi sana, watu waliposema Rais amchunge huyu mtoto yeye mwenyewe akawaona watu wanampangia na kumuonea wivu mwanae kumbe walikuwa na nia njema ya kumsaidia huyu kijana asije kumtia aibu akajitokeza hadharani kumsifu akidhani anawakomoa watu kumbe anajikomoa mwenyewe.

Ona sasa Rais alivyotegwa kirahisi, tuone sasa mvunja sheria na msimamia sheria nani ataibuka mshindi mbele ya msema kweli ni mpenzi wa Mungu.

Ukiwa mnafiki usisahau kuwa muda si mrefu utajulikana tu.
Anaweza onesha mapenzi ya kweli kwa bashite na aka mfire mpango kwa kumtaftia sababu hata ambayo si sababu.

Mfano, unaamini magulu alitumbuliwa eti kwa sababu haendi misibani na hatoi salam za pole?
 
Ninakumbuka maneno ya Gwajima alisema amerusha kombora na litafika tu kwa kiumbe yule mwenye jina la manyigu kwa Kinyakyusa.
Tena alisema linaweza kichelewa lakini litafika
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] amempa Zitto kidonge kimoja cha usingizi, akikoroma tu, anamfanyia upasuaji mkubwa tu ha ha ha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina wasiwasi mwenzenu kuwa kuna mchezo hapa ili wanunuzi wakosekane na serikali itaifishe.Hivi kweli kuna mtu atayanununua hajitaki?

Kwani baada ya kuyanunua are you safe kwa hii serikali bila kutafutiwa sababu ikiwemo kodi hulipi, kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu naota tu mnisaidie huyo mnunuzi kwa serikali hii atatoka wapi? Asipotezwe baada ya kunuunua unless watu wanaojulikana walishajulikana nafikiria nje ya box tu with all my senses
 
Mkuu wa mkoa dsm bwana bashite ametoa laaaana kali kwa watakaojaribu kununua makontena yake laaana hii itaenda pamoja na kupotezwa katika uso wa dunia kwa atakayeyasogolea na kuyanunua ikumbukwe mwamba huyu aliivamia clouds fm na kundi lake la watu wasiojulikana kwahiyo mtakaonunua kuweni makini
 
Anaweza onesha mapenzi ya kweli kwa bashite na aka mfire mpango kwa kumtaftia sababu hata ambayo si sababu.

Mfano, unaamini magulu alitumbuliwa eti kwa sababu haendi misibani na hatoi salam za pole?
Magulu hakuitisha press baada ya kaka Lissu kushambuliwa
 
Mkuu wa mkoa dsm bwana bashite ametoa laaaana kali kwa watakaojaribu kununua makontena yake laaana hii itaenda pamoja na kupotezwa katika uso wa dunia kwa atakayeyasogolea na kuyanunua ikumbukwe mwamba huyu aliivamia clouds fm na kundi lake la watu wasiojulikana kwahiyo mtakaonunua kuweni makini
Shukrani kwa angalizo nilikuwa nataka nikanunue saman kwa ajili ya ofis yangu
 
Na hii ndiyo nyuma ya pazia ya laana yake! Kwa maneno mengine, jamaa katangaza vita kwa atakaye nunua mzigo.
 
Hivyo vifaa haviendi kuuzwa Bali vinaenda kutumiwa na walimu tena wa serikali Kwa nini serikali isiangalie hili Kwa jicho LA pili?sheria hizi sio msahafu kuwa haziwezi kugeuzwa kidogo Kwa maslahi ya taifa naamini Iko njia ya kupita kumaliza hili bila vikwazo-makonda hoyeee
 
Mimi nina wasiwasi mwenzenu kuwa kuna mchezo hapa ili wanunuzi wakosekane na serikali itaifishe.Hivi kweli kuna mtu atayanununua hajitaki?

Kwani baada ya kuyanunua are you safe kwa hii serikali bila kutafutiwa sababu ikiwemo kodi hulipi, kesi zisizokuwa na kichwa wala miguu naota tu mnisaidie huyo mnunuzi kwa serikali hii atatoka wapi? Asipotezwe baada ya kunuunua unless watu wanaojulikana walishajulikana nafikiria nje ya box tu with all my senses
Kweli kabisa kama kuna mtu haja wajuwa hawa jamaa adi sasa hivi atapata taabu sana hapo Mipango na Bashite wapo wana malizia KUANDA BONGO MOVIE !
Mridhi ya wa mzee majuto anakuja kumalizia siku sio nyingi!!!
 
Dokta mipango anachokitafuta atakipata soon....awaulize wenzie...bashite huwa hachezewi na haguswi
 
#MwananchiNukuu Wengine hugawa watu katika mafungu. Mtu fulani akifanya kosa hata liwe kubwa, hasemwi lakini mwingine akifanya kosa japo dogo hukuzwa likawa kama Mlima Kilimanjaro" Hayati Baba wa Taifa, Julius Kambarage Nyerere #MwananchiLeo

Sasa huyu bashite kafanya bonge la kosa lakini baba yake anamlinda tu hapo ndo utajua jiwe alivyombaguzi.

kuwa na akili bana!! kama waziri anajua ukaribu wa RC na rais, na yeye kateuliwa na rais....si angeogopa.futa usemi wako
 
Back
Top Bottom