ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Anaweza onesha mapenzi ya kweli kwa bashite na aka mfire mpango kwa kumtaftia sababu hata ambayo si sababu.Mungu anajua kuwaumbua watu tena kwa muda mfupi sana, watu waliposema Rais amchunge huyu mtoto yeye mwenyewe akawaona watu wanampangia na kumuonea wivu mwanae kumbe walikuwa na nia njema ya kumsaidia huyu kijana asije kumtia aibu akajitokeza hadharani kumsifu akidhani anawakomoa watu kumbe anajikomoa mwenyewe.
Ona sasa Rais alivyotegwa kirahisi, tuone sasa mvunja sheria na msimamia sheria nani ataibuka mshindi mbele ya msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
Ukiwa mnafiki usisahau kuwa muda si mrefu utajulikana tu.
Mfano, unaamini magulu alitumbuliwa eti kwa sababu haendi misibani na hatoi salam za pole?