DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

DAR: Licha ya RC Makonda kusema atakayenunua Makontena yake atapata laana kali, Waziri Mpango aagiza yapigwe mnada

Serikali yetu inapenda sana Isidingo.

Ila huu mchezo wanaocheza wameshapanga kila kitu...

Wanajua kabisa nini kinaendelea na lini kitaisha.
 
Nijambolaaibu kabisakwa watendaji wa serikalimoja, chama kimoja, wameteuliwa na rais mmoja, wanalumbana wazi wazikama watoto wasio na adabu.
Wanazingua tu ni movi wanatufanyia ili serikali ionekane inatenda haki kwa watu wote lkini in fact hayo makontena hayatanunuliwa na atakayenunua ni mtu maalum aliyepangwa kwa kiini macho tu.
 
Mkuu vipi kwa mtazamo wako hapo nani yupo sahihi? Makonda au waziri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inatakiwa kuwa moja kwa wote, kwa hiyo Makonda asitake special treatment.

Kama Waziri anafuata sheria, Makonda alitakiwa kuomba radhi.

Lakini, kutupiana maneno kwenye vyombo vya habari, watu wa serikali moja, kunawafanya wote wawe wamekosea katika kulumbana huku.
 
Back
Top Bottom