kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nasimama penye ukweli tunahitaji pesa kwa ajili ya kujenga reli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasimama penye ukweli tunahitaji pesa kwa ajili ya kujenga reli!
Chukua wewe hiyo nafasi!
Mkuu vipi kwa mtazamo wako hapo nani yupo sahihi? Makonda au waziri?Nijambolaaibu kabisakwa watendaji wa serikalimoja, chama kimoja, wameteuliwa na rais mmoja, wanalumbana wazi wazikama watoto wasio na adabu.
Mpango hajipendi anamchokoza mtoto mpendwa yasije yakamkuta ya Nape.Nijambolaaibu kabisakwa watendaji wa serikalimoja, chama kimoja, wameteuliwa na rais mmoja, wanalumbana wazi wazikama watoto wasio na adabu.
Endelea kumfulia nguo na nepi asante MaoChukua wewe hiyo nafasi!
Wanazingua tu ni movi wanatufanyia ili serikali ionekane inatenda haki kwa watu wote lkini in fact hayo makontena hayatanunuliwa na atakayenunua ni mtu maalum aliyepangwa kwa kiini macho tu.Nijambolaaibu kabisakwa watendaji wa serikalimoja, chama kimoja, wameteuliwa na rais mmoja, wanalumbana wazi wazikama watoto wasio na adabu.
Muvi za kibongo ñyepesi sana ni rahisi kujua mwisho wakeMpango unaondoka na maji! It is a matter of time!
Usihofu!
Sheria inatakiwa kuwa moja kwa wote, kwa hiyo Makonda asitake special treatment.Mkuu vipi kwa mtazamo wako hapo nani yupo sahihi? Makonda au waziri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanazingua tu ni movi wanatufanyia ili serikali ionekane inatenda haki kwa watu wote lkini in fact hayo makontena hayatanunuliwa na atakayenunua ni mtu maalum aliyepangwa kwa kiini macho tu.